11 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@CpbBOB
Njewe tunampuuza Mwenyekiti anasimamia maazimio halali ya Chama Matapeli walitaka kufanya jaribio lakuuza chama limefeli acha waendelee kuongea
9 likes

@_10x_mindsets
Yeye PIA ALIMTWISHA LAWAMA KIBAO FAM KWA MAMBO AMBAYO WALIYAJADILI KWENYE CC MFANO MAJADILIANO AS IF NI ISSUE YA MBOWE @TunduALissu sisi siyo wajinga ni mambo ya KARMA😂😂😂😂
6 likes

@godson_salema
#NoReformsNoElection
6 likes

@SolarHeavy
- Retro City
2,450 likes

@PatrickJAssenga
@ramizxck Kwa hiyo hapa mnashtaki kwa Wananchi, ama namna gani🤣
4 likes

@baba_zaburi
Kama wewe ulivyomuita magu dikteta uchwara, malipo ni hapa hapa
3 likes

@georgesaakumi
No Reforms No Election
2 likes

@abuuaqram
@donminja47 na wenzako sikiliza muanzilishi wa #NoReformsNoElection ni nani.
3 likes

@Eliudiwekesa
Ni Dikteta sababu huamini katika kukosolewa hasa pale taratibu zinapokiukwa. Pia huamini katika mawazo ya wengine na umekua mtu mzushi na muongo ukituhumu wengine halafu unataka tufunike Kombe. Tunachotaka ni tuseme ukweli na kuwaomba msamaha wale aliowakosea kwa uongo na uzushi
3 likes

@TunawezaC79336
Hana maneno, huyo ni dikteta tuh.. maneno ya tarabu hayo anaongea
2 likes

@Viola75278865
Hapa shida ni uongozi. Ameshindwa kuunganisha chama anabaki kulalamika. Hizo dalili za kumtupia maneno ni discontent ya wanachama wake. Akina Golugwa wako wapi wasaidie?
2 likes
