Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ila CCM matapeli sana,Shenzi sanaa.
127,754 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Sasa hapo kikifungwa Mabehewa 😅😁 Kitakimbia kama Joashi Onyango 🤣🤣🙌🚀

Nimeangalia utofauti nimejikuta nalia sanaaa mamaee

😭😭😭😭😭😭

Kwenye hilo daraja imepita kama upepo😆 ila kule nyikani sasa😁😄

Nimecheka sana na kuirudia mara kwa mara🤣 speed niloiyona hapo na ile ya pili ni vitu viwili tofauti

Hili si jambo la kucheka kaka, Nchi yetu inachezewa huku wananchi tukichekacheka hovyo. Mimi napata hasira sana na hivi vitu!, Natamani siku nipate uwezo niigeuze hii nchi kichwa chini miguu juu ili watanzania wengine wasio na hasira kama mimi wapate akili 😡 😡.

Hashtag iwe Nimelia sana 😅

Huyo jamaa anaeshangaa sasa, hiyo ikitoka dar kwenda Moro na Abood itoke dar kwenda Moro atakaewai ni Abood, tren ya mwendo Kasi ni safari ndefu mno na inachosha kwa huu mwanzo

Imagine this particular individual alishawai kuwa mayor....how can you compare something which is fully functioning and something else which is still under trial🤣

Hapoo badoo hawajakiwekwa behewa ...Yaani Kitakuwa kama kina fanya Jogging
