Boniface Jacob's banner
Boniface Jacob's profile picture

Boniface Jacob

@ExMayorUbungo582,626 subscribers

Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER

Shorts

POLISI WAWILI WAUA KWA MAAGIZO YA MKUU WA MKOA CHALAMILA. 1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam. 2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza 3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya Bar ya Board room na kuanza msako wa Dada poa kwa kusema ni agizo la Mkuu wa Mkoa. 4. Lakini Polisi hao walikuwa wakiwatoa nje wahudumu na wateja katika Bar hiyo ambao walikuwa na min skirt (sketi fupi) kwa kusema kuwa watu hao kwa mavazi yao walikuwa wanajiuza katika Bar hiyo ya usiku (night Club) 5. Wateja wengine walipona udhalilishaji na manyanyaso hayo walianza kuondoka katika Bar hiyo ya Boardroom na waliobakia waligoma kutolewaa nje ya Bar kwa muonekano wa mavazi yao. 5. CCTV za Bar ya Board room inayonyesha Polisi hao walipoona wadada wanakata kufananishwa na machangudoa walienda katika gari na kuchujua silaha aina ya bunduki (SMG) na kuanza kutishia wateja na kuelekezea katika meza za wateja waliokuwa wanakunywa katika Bar hiyo. 6. Polisi hao ambao walikuwa wanaonekana wametumia kilevi walifyatua risasi kadhaa kisha kuondoka na gari yao kutoka eneo hilo la Bar ya Boardroom na baada ya kuondoka wateja walirejea na kukuta mlinzi mmoja wapo akiwa amelala chini akiwa amepigwa risasi na kuvuja damu nyingi (video inaonyesha damu ya marehemu) 7. Mlinzi wa Board room alifariki njiani akiwa katika Bajaji anakimbizwa hospitali. 8. Matukio ya polisi kuvamia sehemu za starehe na nyumba za watu binafsi ni maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye anaendesha zoezi la kutafuta madanguro na kusaka madada poa. 9. Leo Mkuu wa Mkoa amesisitiza mauaji kufanywa na polisi ni Jambo la kawaida "Mtu akifia kituo cha polisi tunasema Polisi wameua, Mtu akifia hospitali tunasema ni Mapenzi ya Mungu" RC-DSM, Chalamila 10. Nawakumbusha kulaani tukio lolote la Polisi kuua raia kwa kisingizio chochote kile, Leo kwa huyu kesho kwake. Video za chini zikionyesha polisi hao wanafyatulia watu risasi. Boniface Jacob - Ex Mayor

259,160 görüntüleme

WE HUOGOPI......? Badala ya watu kutawanyika na Kuikimbia mvua uwanjani (Musoma) wakaanza kushangilia mvua na kufurahia mvua kwa shangwe na ndelemo na hatimaye mvua ilipo isha waliendelea na mkutano. Mheshimiwa Jacob hii ina maanisha nini au ina tafsiri gani..? Mimi- Hii maana kuwa Wananchi wana Kiu ya mabadiliko na wapo tayari kwa lololote ili kutafikia mabadiliko hayo. CCM ndiyo watachagua aina ya mabadiliko,na kwa namna yatakavyokuwa , yaje kwa namna gani. Kwa ustaarabu au kwa nguvu Kwa hiari au mabavu Kwa uchaguzi au nguvu ya umma Kwa.

82,694 görüntüleme

POLISI YAUA TENA IRINGA Mwanamke mmoja katika Manispaa ya Iringa amepoteza maisha baada ya kupokea kichapo kutoka Jeshi la Polisi. Polisi wakiwa katika zoezi la kuondoa wafanyabiashara ndogondogo katika Manispaa ya Iringa. Polisi walikuwa wanatumia nguvu kuwakata na kuwapiga baadhi ya wakina mama waliokuwa wanauza mboga na kutembeza ndizi eneo la mashine 3-Iringa. Mwanamke huyo ambaye bado natafuta jina lake na ndugu zake kupita uongozi wa wafanya biashara amefariki baada ya kupigwa na Polisi hadi presha kushuka. Video inaonyesha wakina mama wenzie wauza mbogamboga wakimpatia Mwanamke huyo huduma ya kwanza, muda mchache baada ya kupoteza fahamu na baadae kuaga Dunia. Nawapa pole sana wakina mama wote ambao ni wapambanaji wa maisha kwa kupitia biashara ndogondogo. Najua mlijua Rais akiwa Mwanamke mwenzenu huenda anajua shida zenu zaidi. Poleni.

146,209 görüntüleme

MTU ANAYEPENDA MVUA NA MAFURIKO KULIKO WOTE DAR ES SALAAM..! Wakati wengine wanalia mvua kunyesha kila siku na maji kujaa maeneo yao. Kuna Mtu mmoja tuh,huomba mvua ije na mafuriko yaje ili apige pesa. Si mwingine bali ni mkandarasi anayepewaga kazi na TANROADS ya kuzoa mchanga na kuondoa tope pale eneo la Jangwani. Msimu wa mvua kama huu Jamaa huingiza pesa kwa masaa na siku zinavyokuwa nyingi za mvua na ndiyo anapiga pesa nyingi. 1.Anawakodisha mtambo mmoja kwa Tsh 800,000/= na anapeleka mitambo zaidi ya 10. 2.Anawakodisha gari moja FAW kwa Tsh 400,000/= anapeleka magari zaidi ya 20 3.Anawajazia mafuta kila Mtambo na kila gari kwa siku lita 200. 4.Posho za Madereva na Vibarua. Akimaliza kuzoa leo aondoi mitambo na magari yake, anaweka pembeni anasubiri mvua ije tena maji yajae tena, azoe tena ili watu wapite na magari yao. Hufanya hivi mpaka msimu wa mvua iishe. Pale Jangwani msimu wa mvua kama huu panatumia Millioni 50 hadi 70 kwa siku moja Unafikiri yule Mkandarasi anakula pesa zile Mwenyewe....? Na je unafikiri TANROADS hawawezi kurekebisha eneo lile kwa kupandisha barabara juu na Daraja liwe Juu ili maji yapite chini vizuri..? Ukipata majibu utajua kwanini leo Asubuhi nimelia hadi nimekosa hamu ya kunywa chai.

58,938 görüntüleme

Videos

ExMayorUbungo's profile picture

UKISTAAJABU YA NAPE, UTAYAONA YA ULEGA....! Nimeshangazwa kushtushwa sana na sauti pamoja na picha mjongeo zinazo muhusu Waziri wa Uvuvi na Mifugo Abdallah Ulega zikitembea mitandaoni tangu Asubuhi ya leo. Cha kushangaza ni 1. Jinsi anavyo ongea kwa njia ya simu na mtu mwingine maneno mazito bila ya Kuwa na tahadhari au kutafakari nafasi yake katika Jamii kama kiongozi mkubwa wa serikali. 2 .Namna anavyo elezea kwa ustadi na kwa ufahari jinsi alivyotumia rushwa kushinda uchaguzi wa nafasi ya Ubunge jimbo la Mkuranga ndani ya CCM na Uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani,kinyume kabisa na maadili na sheria za nchi. 3.kwamba anajiapiza kuwa akishidwa Ubunge ktk Jimbo la Mkuranga ndani ya CCM na Uchaguzi mkuu,Mkuranga na Jimbo la Mkuranga,Pwani hapatotawalika kabisaaaaa. Je waziri Abdallah Ulega anataka kutufundisha na sisi wengine tunaoshindwa uchaguzi ktk nafasi mbalimbali tusiwe wajinga kwa kukubali kushindwa kiungwana bali tunatakiwa sehemu tunazoshindwa zisitawalike..? Tumemsikia 4. Je kwa mtindo huu na muendelezo wa wateule wa Rais kutoka hadharani kipindi hiki na kuongea kauli zinazo kinzana na katika na sheria za nchi juu ya haki ya watu kuchagua na Kuchaguliwa tutarajie uchaguzi wa huru na haki ktk serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu mwakani..? Ni majuzi tu tumetoka kusikia kauli za Waziri Mwingine Nape akiwa Mkoani Kagera akiongea juu ya kura kutoamua mshindi katika uchaguzi Sasa tuna Waziri mwingine anaye zungumza hadharani jinsi anavyotumia Rushwa na Ubabe katika Uchaguzi wa Mbunge jimboni kwake.

Boniface Jacob

237,091 görüntüleme • 1 yıl önce

ExMayorUbungo's profile picture

POLISI WAWILI WAUA KWA MAAGIZO YA MKUU WA MKOA CHALAMILA. 1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam. 2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza 3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya Bar ya Board room na kuanza msako wa Dada poa kwa kusema ni agizo la Mkuu wa Mkoa. 4. Lakini Polisi hao walikuwa wakiwatoa nje wahudumu na wateja katika Bar hiyo ambao walikuwa na min skirt (sketi fupi) kwa kusema kuwa watu hao kwa mavazi yao walikuwa wanajiuza katika Bar hiyo ya usiku (night Club) 5. Wateja wengine walipona udhalilishaji na manyanyaso hayo walianza kuondoka katika Bar hiyo ya Boardroom na waliobakia waligoma kutolewaa nje ya Bar kwa muonekano wa mavazi yao. 5. CCTV za Bar ya Board room inayonyesha Polisi hao walipoona wadada wanakata kufananishwa na machangudoa walienda katika gari na kuchujua silaha aina ya bunduki (SMG) na kuanza kutishia wateja na kuelekezea katika meza za wateja waliokuwa wanakunywa katika Bar hiyo. 6. Polisi hao ambao walikuwa wanaonekana wametumia kilevi walifyatua risasi kadhaa kisha kuondoka na gari yao kutoka eneo hilo la Bar ya Boardroom na baada ya kuondoka wateja walirejea na kukuta mlinzi mmoja wapo akiwa amelala chini akiwa amepigwa risasi na kuvuja damu nyingi (video inaonyesha damu ya marehemu) 7. Mlinzi wa Board room alifariki njiani akiwa katika Bajaji anakimbizwa hospitali. 8. Matukio ya polisi kuvamia sehemu za starehe na nyumba za watu binafsi ni maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye anaendesha zoezi la kutafuta madanguro na kusaka madada poa. 9. Leo Mkuu wa Mkoa amesisitiza mauaji kufanywa na polisi ni Jambo la kawaida "Mtu akifia kituo cha polisi tunasema Polisi wameua, Mtu akifia hospitali tunasema ni Mapenzi ya Mungu" RC-DSM, Chalamila 10. Nawakumbusha kulaani tukio lolote la Polisi kuua raia kwa kisingizio chochote kile, Leo kwa huyu kesho kwake. Video za chini zikionyesha polisi hao wanafyatulia watu risasi. Boniface Jacob - Ex Mayor

Boniface Jacob

259,160 görüntüleme • 2 yıl önce

ExMayorUbungo's profile picture

CHADEMA tamu Jamani....!

Boniface Jacob

76,426 görüntüleme • 1 yıl önce