Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ila GERSON MSIGWA! 👇😂😂😂
21,474 görüntüleme • 3 ay önce •via X (Twitter)
30 Yorum

Wanavyoulizaga zinaenda wapi utafikiri kweli kuna mahali zinaenda zaidi ya wao kugawana

Tozo ya mafuta inakwenda kujenga barabara. Tozo ya barabara nayo inakwenda kujenga barabara 🙄 🙆

ula huyu mwamba mie napenda akibananika huwezi muelewa kigugumizi kingi😂😂😂

Ndio ndugu yake na yule trab na trat 😂😂😂😂😂 watz tunaumizwa sana na hawa majambaka.

Msigwa ni kiazi pro max 😅

Hii nchi wanao tuongoza' sizani km wanamin wanawaongoza wana akili. Nazani wanachukulia km mazombi

hta wehu wanazeeka 😂😂😂😂

Sema huyo mwamba inabid tuwe tunamuonea huruma, Ni kazi sana kuongelea positively vutu ambavyo viko hovyo muda mwingine hata yy mwenyw hana majibu ila inabid atoe jibu positively ni kazi sio yakitoto aloo

🤣🤣🤣 kumbe ana kigugumizi !!!

Tuambiwe Tu sasa hawa ndugu wanavuta bange gani maana si bure eeeh ni hizi skanka wanazo sema au VP🤣😂🤣

Waengeze tozo ya tozo

Mfano halisi wa Debe tupu!

Kiazi sana.

Dah😂😂

Yaani huyu akili hana na pua yake ilivyosambaa kama kapigwa ngumi

Huyu Jamaa Uzee Wake Atapata Tabu Sana

😆

"Jamani tusome!"

Yaaani, Mungu tu.

😁😂

Yaan ....

HII NCHI YA TANZANIA...HUWENDA IKAWA NI CHANEL YA BONGO MOVIE🎬 ..HUKO KWAWENZETU WENYE NCHI ZENYE WATU WEREVU WA AKILI... TUITAFUTENI TANGANYIKA YETU.. HII TANZANIA SIYO KABISA

Linajibu kma kichaa

Nilidhani ukiwa msemaji wa serikali unapata taarifa kwanza na information au ukurupuka kujibu tu kama bumunda @MsigwaGerson 🤣🤣

😂😂😂

Sema Afrika tuna maisha yetu ya kipekee sana,ukitumia akili huwezi kuelewa.

Hapa mwijaku akosemeee😂

🤣🤣🤣🤣🤣

Haya maviazi ipo siku tutawachapa uchi barabarani mbwa huyu.

🤣
