Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Ila Siasa ngumu sana 😂😂😂😂😂😂

154,679 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊vor 1 Jahr

Kipindi cha 3 kinaendelea Camara anataka kuirudisha ndani tena 😀

Profilbild von BIDEN
BIDENvor 1 Jahr

Inaweza ikawa siasa ila manula pia asiwepo golini vile vile 😂

Profilbild von Mangi Wa Kichagga
Mangi Wa Kichaggavor 1 Jahr

Mimi Kama Mwanamke Mtaona Kazi nitakayoifanya😟

Profilbild von Kunta Kinte
Kunta Kintevor 1 Jahr

Uchaguzi wa 2025, naona wanaume wakivaa madela jukwaani kuomba kura.

Profilbild von kamdudu
kamduduvor 1 Jahr

kwamba ? Yeye kama Mwanamke ?😁🙌

Profilbild von Laizer🐐
Laizer🐐vor 1 Jahr

Boni yai usicheke huyuu c mwenzetu huyu ni Ashura kashaleft group

Profilbild von B'bojick SÃŘŶÃ
B'bojick SÃŘŶÃvor 1 Jahr

Wangapi tumerudia kusikiliza zaidi ya mara moja kama mimi😀😀😀😀😀😀

Profilbild von halle quen💫
halle quen💫vor 1 Jahr

Tumemuona mwanamke mwenzetu ila mbona hana kijora😀😀

Profilbild von Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻vor 1 Jahr

😂😂😂😂 huyu sio mgombea wa ccm kweli

Profilbild von TheBoss.💰
TheBoss.💰vor 1 Jahr

Walai ni ngumu mno 😂😂

Ähnliche Videos