Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Ila hii nchi๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

60,517 views โ€ข 2 years ago โ€ขvia X (Twitter)

10 Comments

Fundi Bomba's profile picture
Fundi Bomba2 years ago

Yupo sahihi maana mkono una enzems wa kumeng'enya chakula na ndio maana chakula kilichopikwa kinawahi kuchacha endapo ukikigusa kwa mkono

Sulwa Kayandema's profile picture
Sulwa Kayandema2 years ago

Astaghafilillah! Mbona kama ana hoja vile. Asipuuzwe huyu ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

09Vato's profile picture
09Vato2 years ago

Sayansi inasema wazi Hakuna Enzymes Zozote mikononi. Enzymes ziko mdomoni. Ule kwa mkono, kijiko, au miguu umeng'enyaji wa chakula unaanzia Mdomoni. Huyu atakuwa dk wa tiba za asili

Abasi's profile picture
Abasi2 years ago

Yuko sahihi

Charles Gavachu's profile picture
Charles Gavachu2 years ago

Ndevu kama katuni la mario

Dr. Abdul's profile picture
Dr. Abdul2 years ago

@KigumeR @safarihamidpro wazee hizo slide ndo zile mlikataa kunitumia

HUNTER NKG Jr GAA โ™‰'s profile picture
HUNTER NKG Jr GAA โ™‰2 years ago

Cheki alivyo na sharubu zake

MedKali MD's profile picture
MedKali MD2 years ago

Hivi kwann watu wa media wanawapa nafasi watu kama hao wasiokuwa na taaluma!? Wanaongea vitu vya hovyo tu, yaani wanatia doa sekta ya afya

MoKatullaโœ๐Ÿพ's profile picture
MoKatullaโœ๐Ÿพ2 years ago

Mtu akishakua na visharubu kama Kambale mwenye madeni lazima awe na shida mahala๐Ÿ˜‚

Granit's profile picture
Granit2 years ago

Ushauri wake ni mzuri ila sisi tunaopenda SUPU ndo tunaumiza kichwa tunaanzaje kula kwa mkono

Related Videos