正在加载视频...

视频加载失败

Ila hii nchi🙌🏿😂😂

60,517 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Fundi Bomba 的头像
Fundi Bomba2 年前

Yupo sahihi maana mkono una enzems wa kumeng'enya chakula na ndio maana chakula kilichopikwa kinawahi kuchacha endapo ukikigusa kwa mkono

Sulwa Kayandema 的头像
Sulwa Kayandema2 年前

Astaghafilillah! Mbona kama ana hoja vile. Asipuuzwe huyu 😎😎

09Vato 的头像
09Vato2 年前

Sayansi inasema wazi Hakuna Enzymes Zozote mikononi. Enzymes ziko mdomoni. Ule kwa mkono, kijiko, au miguu umeng'enyaji wa chakula unaanzia Mdomoni. Huyu atakuwa dk wa tiba za asili

Abasi 的头像
Abasi2 年前

Yuko sahihi

Charles Gavachu 的头像
Charles Gavachu2 年前

Ndevu kama katuni la mario

Dr. Abdul 的头像
Dr. Abdul2 年前

@KigumeR @safarihamidpro wazee hizo slide ndo zile mlikataa kunitumia

HUNTER NKG Jr GAA ♉ 的头像
HUNTER NKG Jr GAA ♉2 年前

Cheki alivyo na sharubu zake

MedKali MD 的头像
MedKali MD2 年前

Hivi kwann watu wa media wanawapa nafasi watu kama hao wasiokuwa na taaluma!? Wanaongea vitu vya hovyo tu, yaani wanatia doa sekta ya afya

MoKatulla✍🏾 的头像
MoKatulla✍🏾2 年前

Mtu akishakua na visharubu kama Kambale mwenye madeni lazima awe na shida mahala😂

Granit 的头像
Granit2 年前

Ushauri wake ni mzuri ila sisi tunaopenda SUPU ndo tunaumiza kichwa tunaanzaje kula kwa mkono

相关视频