Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Ila huyu Jamaa.๐๐๐
84,207 Aufrufe โข vor 1 Jahr โขvia X (Twitter)
11 Kommentare

Hawa jamaa ndo wananivunjaga mbavu Mimi Sasa sio wale wa Cheka tu upuuzi mtupu

๐คฃ๐คฃ kimeiva kichwa mkia unapapatika

๐ท A tough day in the jungleโhow does this sloth overcome it? The twist you didnโt see coming

Hii clip naipenda balaa likaja chakula chumvi kama bahari?๐๐๐๐๐๐๐

Nimemwona ambangile hapo

@George_Ambangil ulikuwepo kipindi hiki?๐๐

Hawa walipotelea wapi...

Sa mfano uko msibani mara bos anakwambia washa Data uone mzigo mpya, kidogo ukasema ngoja niingue insta alafu unakutana na huu upuuzi ๐๐๐

๐๐๐๐ kimeiva kichwa mkia unapapatika ๐๐๐

Muongo wa Taifa

Huyu jamaa nilikutananae laivu nilicheka sana mpaka akasema we jamaa mbona wanicheka hvi au unaniona mimi muongo hadi hapa?๐๐
รhnliche Videos
Sensitive content
PAUL KAGAME: Unajua Felix Tshisekedi alikuwa dereva tax mwenye sifa mbaya sana huko ubelgiji, Aliajiriwa na mtaliano mmoja katika mgahawa wa kuuza piza, jamaa huyo sasa ni mzee, Kagame anasema, yule mzee aliposikia Felix amekuwa Rais akashangaa sana, akasema huyu jamaa ambaye hakuweza hata (kudeliver) pizza amewezaje kuwa Rais wa Nchi..? Ila siasa bhana dah๐๐
Edwin Odemba
206,243 Aufrufe โข vor 1 Jahr
