Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Ila imagine Swizbeats asingekuwepo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ

35,404 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

11 Comments

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Babu Tale, Leo Kapigiwa Simu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kathibitisha kweli, Waliitwa Waende Chumbani kuangalia Movie,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Msikilize.... Video kwa Comments๐Ÿ‘‡

AG24SEVEN's profile picture
AG24SEVEN1 year ago

Apigiwe na Swizz Beats kwanza

Kamamaa's profile picture
Kamamaa1 year ago

Na Mondi alifikaje mpaka akashuhudia vitu hawezi taja ๐Ÿคฃ

Clone_OG's profile picture
Clone_OG1 year ago

Na mbona Mondi mlisema mlingia chumbani sasa hv mnaruka...Mondi ndio alithibitisha walifanya mambo ambayo walishindwa kurekodi...Mondi alipakwa wese period

Ibrahim Ahmed's profile picture
Ibrahim Ahmed1 year ago

Tunashukuru muheshimiwa kwa kutuhakikishia kua yaliwakuta mazito kwa didy sababu kukaribishwa chakula sio kitu cha kushindwa ku post kama alivyo sema mondi mlipigwa pipe buanaaaa hamkutoka salama mondi alisema mengine sio ya kupost sasa chakula cha kushundwa post?

The_Muffin_Man๐ŸŸข's profile picture
The_Muffin_Man๐ŸŸข1 year ago

Hii issue nadhan ina mipango michafu tu nyuma yake ... Wala sidhn km izo point ni za kweli!

baba Tamali's profile picture
baba Tamali1 year ago

Wangepita sema mbna wameaanza kujitetea

The chosen one โ˜๏ธโ™ฅ๏ธ's profile picture
The chosen one โ˜๏ธโ™ฅ๏ธ1 year ago

watu si wajinga buanaa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Tamim Kifungu's profile picture
Tamim Kifungu1 year ago

Ukisikia maongezi haya yanatofautiana na yale walioongea mwanzon baada ya kutoka kwa Did walifurahia na kusema yaliofanyika pale hawawezi post walifika studio wakajifunza vingi sjui nini walimuacha mh nje Hili ni janga letu sote tufunike kombe mwanaharam apite tusitafute ๐Ÿ‘€๐Ÿ‘€

Chief Madaha๐Ÿ˜ท's profile picture
Chief Madaha๐Ÿ˜ท1 year ago

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿšฎ

Aloyce Simbeye's profile picture
Aloyce Simbeye1 year ago

Jamaa sababu anapenda kujitapa akaona aseme walifanya vitu ila hawawezi kupost. Kumbe hawakupata moment yoyote ile na Diddy. Ashukuriwe Switz maana baada ya kula tu wangeliwa.

Related Videos