Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Ila Aslay😂😂🙌
106,392 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Umategemea Kijana anayesoma maudhui yako apate maarifa gani..? Uhuru wa habari kuna namna unapaswa kudhibitiwa " mitandao ya Kijamii ni Ulevi na Janga kwa Taifa..

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Huyu kijana aliyehoji na huyo anahojiwa wamekiuka maadili yetu. Itafaa wawajibike kwa maudhui haya. @tanpol @Dr_DGwajima

Jamaa jeusi kabisa lingefaa hata jeshini lakini ndo ugali wa wana hafu huyu jamaa alietengeneza hii habari nae kama mpuuzi unaendaje kuhoji wangese kama hao 🚮 Another man down yani sijui mama ake anajisifu nini kwa nguvu alizozitoa leba hafu mwanaume unadindishaje kwa hawa daah

@Dr_DGwajima tafadhali fatilia hizi Radio za kipumbavu zinazosaidia maudhui ya namna hii kuonekana ni ya kawaida

@Dr_DGwajima hizi clip za hovyo zinafundisha nini jamii dili na hawa vijana ili tuludi kwenye maadili hata kama mtu unatafuta followers hii sio sawa

Dah kumamamke aslay kumbe anamichezo ya kofokoana mavi kumamake 🚮🚮🚮

Mhhhh eti Mimi na asley tuliwekeza kama mke na mme kumamake

Ndio maana Aslay kapotea kmmk😃😃

Kila aliyehusika kwenye hii video nae ni choko. Kmmk😾😾

Hizi media za kijinga hazina content za maana.
