正在加载视频...
视频加载失败
Ila imagine Swizbeats asingekuwepo 😂😂😂😂🙌
35,404 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Babu Tale, Leo Kapigiwa Simu 😂😂😂 Kathibitisha kweli, Waliitwa Waende Chumbani kuangalia Movie,😂😂😂😂 Msikilize.... Video kwa Comments👇

Apigiwe na Swizz Beats kwanza

Na Mondi alifikaje mpaka akashuhudia vitu hawezi taja 🤣

Na mbona Mondi mlisema mlingia chumbani sasa hv mnaruka...Mondi ndio alithibitisha walifanya mambo ambayo walishindwa kurekodi...Mondi alipakwa wese period

Tunashukuru muheshimiwa kwa kutuhakikishia kua yaliwakuta mazito kwa didy sababu kukaribishwa chakula sio kitu cha kushindwa ku post kama alivyo sema mondi mlipigwa pipe buanaaaa hamkutoka salama mondi alisema mengine sio ya kupost sasa chakula cha kushundwa post?

Hii issue nadhan ina mipango michafu tu nyuma yake ... Wala sidhn km izo point ni za kweli!

Wangepita sema mbna wameaanza kujitetea

watu si wajinga buanaa😄😄😄

Ukisikia maongezi haya yanatofautiana na yale walioongea mwanzon baada ya kutoka kwa Did walifurahia na kusema yaliofanyika pale hawawezi post walifika studio wakajifunza vingi sjui nini walimuacha mh nje Hili ni janga letu sote tufunike kombe mwanaharam apite tusitafute 👀👀

😅😅🚮

Jamaa sababu anapenda kujitapa akaona aseme walifanya vitu ila hawawezi kupost. Kumbe hawakupata moment yoyote ile na Diddy. Ashukuriwe Switz maana baada ya kula tu wangeliwa.
