Loading video...
Video Failed to Load
Ila mashabiki wa hizi timu 😂
59,656 views • 1 year ago •via X (Twitter)
9 Comments

Rais wa Wapwa🇹🇿1 year ago
Huyu kama kamtaja kamwe hapa

Pisikali bongo1 year ago
@BongoPisikali

🦁1 year ago
Sukari imepanda ukichanganya na Asali 🤣

Goat1 year ago
Mijadala yenye afya kwa taifa haijadiliwi unajadiliwa mpira tuu!!

Afisa Muuguzi (NO)👨⚕️💊1 year ago
Bado watachanganyiwa sana tu

heisenberg1 year ago
Napenda kuona hali hii

Ambele Young1 year ago
Watu wamevurugwa sana Kaka nimecheka sana 😂😂😂

BABA PAROKO🐦1 year ago
Sku chache nyuma walikua na furaha ila hapa karbun😂😂😂

Ahmet Deniz 🇹🇷1 year ago
Kufungwa na timu kama tabora kunavuruga
