Loading video...
Video Failed to Load
Ila matangazo ya Cement hapana ๐๐
9 Comments

Daktari Wa Manesi ๐๐2 years ago
Nyumba za Ubungo zile wangejengea hizi Cement bomoa bomoa wasingefanikiwa kuzibomoa ๐

Joviniens country boy2 years ago
Kuna hii pia ๐๐๐

Raymond Banks2 years ago
Kama unalikumbuka hili tangazo aisee fanya mpango ๐ ๐

๐ฑ๐๐๐๐ ๐ธ๐๐๐๐๐2 years ago
Nimeangaliza mara tatu hivi nacheka tu. Very funny.

HUGO2 years ago
Hehe na tukaamini

007Nov๐2 years ago
Kuna sehemu jamaa kama kacheka alafu gafla akachange sura ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

Kante๐ฌ2 years ago
Simamisha Ujenzi๐

BRIAN2 years ago
Matangazo ya zamani ukiangalia unaenjoy sana๐

Chogo ๐น๐ฟ2 years ago
Sa si bora hyo kuna yale yalikuaga ay Guines? Jamaa akinywa anakua na nguv kama super Man
