Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Ila matangazo ya Cement hapana 😂😂
Комментарии: 9

Daktari Wa Manesi 💉💊2 лет назад
Nyumba za Ubungo zile wangejengea hizi Cement bomoa bomoa wasingefanikiwa kuzibomoa 😀

Joviniens country boy2 лет назад
Kuna hii pia 😂😂😂

Raymond Banks2 лет назад
Kama unalikumbuka hili tangazo aisee fanya mpango 😅😅

𝕱𝖆𝖉𝖍𝖞 𝕸𝖙𝖆𝖓𝖌𝖆2 лет назад
Nimeangaliza mara tatu hivi nacheka tu. Very funny.

HUGO2 лет назад
Hehe na tukaamini

007Nov🍁2 лет назад
Kuna sehemu jamaa kama kacheka alafu gafla akachange sura 🤣🤣🤣🤣

Kante🔬2 лет назад
Simamisha Ujenzi😁

BRIAN2 лет назад
Matangazo ya zamani ukiangalia unaenjoy sana😄

Chogo 🇹🇿2 лет назад
Sa si bora hyo kuna yale yalikuaga ay Guines? Jamaa akinywa anakua na nguv kama super Man
