正在加载视频...

视频加载失败

Ila ni kweli mwamba ni mbaya😁😁😁🙌

31,278 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Most Wanted JR 的头像
Most Wanted JR3 年前

Mwamba sio mbaya tatizo hajafanyiwa masaji🤣🤣🤣

Caesar 的头像
Caesar3 年前

Ndo maana @DullahTheking2 mtoto wa watu uliamua kuoga mafuta 😂 kuepuka na aibu ndogo ndogo kama hz.... Sema Nini 😅😂😂mshikaj mbaya SANA 😂😂😂🤣🤣

Juliana(PHD) 的头像
Juliana(PHD)3 年前

Baba aambiwe tu sura sio roho😂😂

❤️‍🔥🌹 的头像
❤️‍🔥🌹3 年前

Dah kiukweli acha mzee agome tu 🤣🤣🤣

Mr Jobless ✨ 的头像
Mr Jobless ✨3 年前

Huu ni Ubaguzi wa kisura Sijapenda asee Japo mwamba ni Mbaya kweli ila so fresh ivoo

MBADY 的头像
MBADY3 年前

Sema Mwamba kakasirika tu lakin sio mbaya😂😂

Wambura 的头像
Wambura3 年前

😀😀

Makale_Yakale 的头像
Makale_Yakale3 年前

Ukiwa huna hela tatizo ukiwa mbaya tatizo, ukiwa mbaya na huna hela ndio TATIZO la kuvunja mgongo..

KING SWAT 🇹🇿 的头像
KING SWAT 🇹🇿3 年前

Hii mbaya na ni unyanyasaji

C a s e e M 的头像
C a s e e M3 年前

Sura sio Roho,..

相关视频