Loading video...
Video Failed to Load
Kura Maishaaa ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
52,114 views โข 2 days ago โขvia X (Twitter)
31 Comments

Mshikaji anaonekana mtu wa maji sana yani kula na maisha na kuonga ni vitu tofauti kwake๐

Pesa yangu kumpa mwanamke (kuhonga) labd nifanyiwe maombi nahs Nina shida sehemu

Nb: wanaume tule maisha tusiishie kuwatafutia wengine tu.

Mzee wa Zimbabwe tumemiss sana mawe yako pendwa ya kiaarakati na ukosoaji wa kweli. Tutupie jiwe moja basi kaka

Jamaa kazingatia sana hicho kipengele. Tunaishi mara Moja mkato ๐๐

Tunaishi mara moja kwahiyo kura maisha ni muhimu sana

Noma ๐๐

Kuhonga ni kipengere muhimu sana

Familia kabisa huyu wanaume rizki zetu ngumu mno ๐๐

๐๐๐

Kuraaa maisha kaka....

๐๐๐

Kula Maisha

Kula maisha ๐๐ Eat more, the slogan says ๐ค๐ค

Amenianua kitu hapo kumbe kula maisha hakuhusiani nakuhonga

Noma mno

Utaftaji ni mgumu iweje tupangiane namna ya kula maisha nyie wanawake hiyo bajeti ya kuhonga iko kwenye kitabu gan kwenye vile vitakatifu( biblia au quruan)

๐คฃ๐คฃ๐คฃ

@MadadyJr ๐๐๐

Dogo jau sana uyu ๐คฃ๐

๐คฃ๐คฃ๐คฃ

@mwlkeberenge ๐๐

Hhj

๐๐๐

Hiyo ya kula maisha asipokuwa na msimamo ndiyo inaenda kugeuka yakuhongea

๐๐

๐๐๐

Afadhali anawakumbuka wazazi

Dah nimecheka sana aysee

Uyu jamaa nmechoka

Kura maisha
