正在加载视频...
视频加载失败
Ila sheria 😂
11 条评论

Cutting_ Timeless_barbershop1 年前
Sasa sector ya ndoa imeingilia kwenye maamzi ya mtu acha wajioe team kataa ndoa mpoooooo😂

Master1 年前
Mkiwa mnakaa pamoja miezi sita huyo ni mke na sio miaka miwili

Rock Paper Sizzle1 年前
💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Mwasomola, Elisha Danford1 年前
@WakiliWako ndio mnafundisha presumption of marriage hivyo?? 🤣🤣

Julius Marijani1 年前
Hii nilikuwepo kwenye semina.

Benjamin Mkapa𝕏1 年前
Ni miezi 6 sio miaka miwili

Jeff1 年前
Yes nilimuahidi lakini behavior progress yake iko tofauti na expectations zangu lazima aachwe.

Planner🕵♂️1 年前
Ni miezi 6 sio miaka 2

UBAYA UBWELA1 年前
Kuna ndoa aina 3 kuna ya kidini,kimila na kiserikali hizi anazosema huyu ziko ktk kund gani hapa

T.F1 年前
in, kenya🇰🇪, Not even having 10+ children with someone is proof of Marriage.

kamchape⛓1 年前
Eheheheee hiii mbona sijawai kuona kwenye kifungu
