正在加载视频...

视频加载失败

Ila wakenya wamevurugwa 😂😂

38,044 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Rama Pongwer 的头像
Rama Pongwer3 年前

Ndo siasa unazotaka ziwe Tz hizi bro au sio??🤣🤣 Ukijichanganya kuongea hivi Tz umeisha😀, wakati wao wapo lockdown sisi tuliendelea na productions, pia waTz sio waoga ila tuna misingi fulani ya kuheshimiana na utu, kuwe na uhuru ila usiwe wa kiwango hichi

Juss J.Jassy🇹🇿🇿🇦🇺🇬 的头像
Juss J.Jassy🇹🇿🇿🇦🇺🇬3 年前

Hapo kinachokufarahisha ni kipi sasa!!yani chadema u support kikundi chochote duniani kinachopingana na serikali, mbowe yuko chamwino anavuta shisha

imbundujo 的头像
imbundujo3 年前

Bongo leta huo uduanzi watakufurahisha

Mazoya 的头像
Mazoya3 年前

Haaahaaaaaaa

Lwimo Seleman 的头像
Lwimo Seleman3 年前

Tuna mengi ya kujifunza

Mbuya Mpenda 🅰️MANI 的头像
Mbuya Mpenda 🅰️MANI3 年前

😂😂😂hivi Kuna maeneo Kenya bangi imeruhuswa??🤣🤣🤣🤣

MAGUFULI THE GREAT 的头像
MAGUFULI THE GREAT3 年前

ivi hii ni ndio democrasia??? hapana kwa kweli hata mie sifurahishwi na uongozi wa awamu ya sita ila siwezi toa kauli ya namna iyo haya ni matusi na sio hoja wala mashiko... tunasifiaga ujinga but Afrika ina vingi vya kujifunza kwetu sie waTanzania, tuacheni unafiki.

Isaiah Luomba 的头像
Isaiah Luomba3 年前

Hahahaa

BekaBOY 0.1 的头像
BekaBOY 0.13 年前

Bongo unapotea hautaonekana milele 😂😂😂

KINGPIN JOHN DOE 🇨🇴🇺🇸 的头像
KINGPIN JOHN DOE 🇨🇴🇺🇸3 年前

Hii ikitumika hata Tanzania itakomesha hili janga la ushoga TRUST ME.

相关视频