Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Wamevurugwa Hawa 😂😂😂😂😂😂😂
165,763 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

kuna mwamba anaoa mcharuko, mcharuko mwenzake umekuja kutunza, maninaaa

Hapo ukute anadaiwa marejesho ya 1. Kausha damu 2. Asa 3. Brac 4. Hope 5. Oya 6. Selcom 7. Fanikiwa 8. Atlas 9. AML 10. Jeaki 11. Finca Mgodi, mpawa, bustisha na Nyash nivushe 😂😂😂😂

Ukijichanganya Kwa Malaya kama huyu ukaoa automatically you're fucked up

Imagine hao ndio marafiki wa mke unayeoa ambaye ni huyo kwenye shela

Nasijui wanapataga wap hela

Mwamba kaoa malaya

Ukisikia sabab za ndoa kuvunjik kabla aijafugwa ndio kam izi

Daah unamuona anatunza hapo Ila iyo ela kapata kwa shida Tena sana 😂😂😂

Hao ndio mashost wa mkeo mtarajiwa!,. pana kazi sasa hapo!?.

Akitoka hapo anapanda toyo kwa buku mbili asubuhi anaamka hana hela ya kula then anaingia mtaani kudanga kufidia loss ya jana usiku wake
Похожие видео
Someone commented, "Mniwachie hawa sina wazazi..." 😂😂😂
Wan Stan 🔰
98,582 просмотров • 10 месяцев назад
