Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Ili sio tumbo la binadam๐๐๐
24,196 Aufrufe โข vor 19 Tagen โขvia X (Twitter)
33 Kommentare

Itakuwa anatembea na misukule anakula nao maan anakula ila kamwil km fimbo

Ni content tu,,,hicho chakula sio kweli amemaliza mwenyewe,,,,

Mi huyu mpaka nione anakula live anamaliza aisee๐๐hivi hivi hapana

Uroho tu ๐๐๐

Kwan anatenda ya mavi sehemu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

Eeeh demu wake @sapro_phyticus ๐๐๐

Hata hivyo kajitahidi sana

hivi anakula kumaliza kweli au michezo ya kamera

Uwa amalizi iko chakula

๐๐๐๐

Hyu aki enda kunya lazma uite gar la maji taka๐

content huwa hakali kila kitu

Chakula anachokula kinaenda wapi ๐

Ni stoo

Sema namkubali sana huyu dada, kachagua starehe ya faida kabisa ๐

Kwani hichi kidemu ni kinani

Michezo

nashindwa kuelewa

Toto Linakula balaa๐๐

Huyu anaweza Kula mtoto huyu njaa hii njaa gani au ya AI kwenye 5Gโ๏ธ๐ง

Editing hiyo aoneshe Mwanzo mwisho anavyo kula tumuone...

Huyu anajiendekeza Sana mshenzi ๐

๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ

Akinya kumala mamakee anajaza ile pot ya chooni mara moja

Mwenzetu anaumwa huyu tumuombee

Ogopa vidada vyembamba kwa kula ๐

Anakolomeloo ๐

Kuna watu huwa hawatafakari hata kidogo kila wakionacho wanaamini kama kilivyo hasara sana taifa hili

Michezo hiyooo

Atakua ana edit,japo watu wembamba sana wana matumbo ya mgongoni..

Michezo

Alikuwa magereza au??

Content
