Loading video...
Video Failed to Load
I’m humbled 🙏🙏🙏
11 Comments

Uzuri dhamira huwa haidanganyi. Hatuna shida na uchambuzi wako. Tuna shida na chuki yako kwa Yanga. Unataka utumie Media kueneza chuki. Ikifikia usawa wa kichambuzi KWA YANGA UNATAMANI KULIA! Kwa hiyo kupost video kumi za kukusifia hakufuti ukweli wa nafsi yako!

- Come Around

Siku ukiwasema ndio utajua upo peke yako

We unajihesabia kua mchambuzi wa mpira wa miguu?!!!

Kaka Natoa pongezi kwako hata pale TBC umeupiga mwingi sana,ulikuwa very smart hadi kuna mzee akatikisa kichwa kwa kukubaliana na ulichokuwa unaongea ni ukweli MTUPU

Ukiuliza hao wote wanashabikia timu Gani jibu ni makolo.

Anachabua siasa za mpira ila ufundi, mbinu aaaah ni mweupe sana!!

Huyu mzee hana kipengele kabxa

Ulivyo KUMA unavimba kichwa unadhani unapendwa!

Kuma Kuma wewe

Ila huyu wa mwisho 😂🙌 Sema @jemedarisaid wewe ni mwamba sn ila Kuna muda unaipiga spana team yangu ila ukweli siku zote ni mchungu. Keep it up 💪🇹🇿
