Loading video...
Video Failed to Load
IMANI NI BORA KULIKO DINI👇🏼
27,429 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

Daktari Wa Manesi 💉💊1 year ago
Wanapagawa na umimi nasikitika kuona vijana wanakufa kwa Madawa na ukimwi. Ukiwashwa hauzimwi unakunwa na mistari kutoka kichwa ambacho hakijadata na udini

SONGA1 year ago
🤝🫡

Babalabihno1 year ago
Hii ngoma nimeikalili yote. Nilivyokua na perform shule sasa utasema me ndio songa😂 @NiiteSonga 🫡

SONGA1 year ago
🫡

KISANI MELEYA KIKAKA1 year ago
"Unaweza ukawa bora hata kama usipo_win" Hii ni Fact kaka

Ozabanga1 year ago
Songa yupo kwe top 5 ya Emcee Bora Africa

Eng Jubel1 year ago
Ninashangaa kuona vijana wanakufa kwa madawa na ukimwi.

Mad Genius1 year ago
Hisia za moyoni.

King Skoba1 year ago
Pole pole ndio mwendo tunapambana

Yusph Hagae1 year ago
Mzazi unaandika sana basi tu 🙌
