正在加载视频...
视频加载失败
Uchawa ni Dini
10 条评论

Adv Gidione Mathew🦁1 年前
Na wewe ni muumini wa uchawa

Anthony Kasigwa1 年前
Sema unajionaga mjuaji kila kitu, wakati chawa tu, unatakaga kuanzisha kiswahili chako? Acha ukanjanja bwana mdogo

Mbwaa wa Ileje.1 年前
Ww pia ni chawa na dini yako ccm na mungu wenu samia

Palamasya1 年前
Ambayo wewe umeingia huko kwenye hiyo dini!

Kenny Afisa1 年前
Nawe ni mshiriki wa dini hiyo sema hujioni

Pilato1 年前
Hakika wew ni hazina ya taifa letu 🫡

PESTEYA1 年前
Wewe ukiwa muumini mtiifu wa uchawa

FUNDI~Samwel🇹🇿1 年前
Vipi bwana Joram! hii dini ya ubarakala unaisupport wakati huu vijana wasujudu kwa kuendeleza carrier zao ama laah🤔

Mboni1 年前
Ukiwemo wewe mwenyewe kama muumini mwandamizi

MeKi1 年前
Na umekuwa muumini…! Utakuwa mchungaji pia?
