正在加载视频...

视频加载失败

🚨🚨‼️IMPORTANT UPDATE‼️ A credible source has informed me that the Govt is setting up a fake medical report in Dodoma aa they seek to involve John Heche in an incident that he was not involved. Sigrada - a leader within Chama cha Demokrasia na Maendeleo had an altercation with...

49,370 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Saint 🧚 的头像
Saint 🧚1 年前

@HecheJohn @ChademaTz

WE News English 的头像
WE News English1 年前

Enforced Disappearances is a Global Issue: 1st World Congress on Enforced Disappearances held in Geneva ▶️ Watch Now: WE News English Program: Perspectives 🗣️Host: Syed Muhammad Ali 🎙️Guests: Jan Achakzai, Former Minister of Information, Balochistan & Altaf Hussain Wani, Chairman, Kashmir Institute of International Relations @Jan_Achakzai @sultan1913 @SyedAli78304182 #EnforcedDisappearances | #HumanRights | #MissingPersons | #Kashmir | #UnitedNations

Vladimir Gadaffi 的头像
Vladimir Gadaffi1 年前

@HecheJohn @ChademaTz Hata yeye mwenyewe huko alipo anajuta kuingia kwenye hiyo Tasnia maana kuigiza mgonjwa then media zinakuja kukuhoja all the time una-act ili Uwaumize wasio na hatia ni hatari sana na siku zote mungu hamfichi mnafiki soon atajisahau Odini wamkute anacheza Amapiano🤣

Ayie Tag 的头像
Ayie Tag1 年前

@HecheJohn @ChademaTz Mzee Kibao walimuua walifanya uchunguzi. Mgombea wa CDM Manyoni alipigwa Risasi 4 mbele ya mke wake walifanya uchunguzi mkewe amepewa hata100 na CCM.Sigrada apigane nje halafu akamatwe Heche ambaye hakuwepo huko nje. Naona wanataka kuwashamoto mapema. Watz Hatutakubali uonevu huu

Adam sunghi 的头像
Adam sunghi1 年前

@HecheJohn @ChademaTz Ametoka kwenye gari anatembea kamera imesogea anaugulia ilaaaah 🤣😇

Maria Sarungi Tsehai 的头像
Maria Sarungi Tsehai1 年前

@HecheJohn @ChademaTz Sanaa imemshinda Sigrada 😃

carlos pills 的头像
carlos pills1 年前

@HecheJohn @ChademaTz Shida imeanzia makala mzee wa Ebola alipochukua usukani

Maria Sarungi Tsehai 的头像
Maria Sarungi Tsehai1 年前

@HecheJohn @ChademaTz Makala ni worse mwenezi CCM kuwahi kupata! 🚮

qerangu sulle jr 的头像
qerangu sulle jr1 年前

@HecheJohn @ChademaTz Hivi ni wp mmeona mtu ambaye damu imeviria kwenye ubongo akaweza hata kuongea au kutembea kwa kushikiliwa kwa kawaida ubongo ukitikisika kdg tu au kuingia hata chembe ya kitu chchte au damu totally huyo hawezi jua chchte wa yaani ICU ma wote ss huyo wao anatembea anaongea kweli ?

Maria Sarungi Tsehai 的头像
Maria Sarungi Tsehai1 年前

@HecheJohn @ChademaTz We waache watoe hiyo report fake

qerangu sulle jr 的头像
qerangu sulle jr1 年前

@HecheJohn @ChademaTz CCM acheni drama za kitoto tuambieni hizo trilion 97.35 zimefanya nini wakati mkisema kila siku miradi yote ni kwa hela ndani yaani kodi zetu mmeuza kila kitu tumebaki wananchi tu kuuzwa

相关视频

VIDEO: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Chadema Tanzania kinaelezwa kuwa kwenye kiza cha mtafaruku baina ya viongozi wakuu, chanzo kikidaiwa kuwa ni fedha ambazo zimeanza kupenyezwa ndani ya chama hicho ili kuuvuruga na ikiwezekana kuuondoa uongozi wa juu uliopo (Mwenyekiti Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti Bara John Heche). Kwa muda wa wiki moja tangu vikao vya kamati kuu ya chama hicho vikaliwe Kigoma Juni 30, 2026 zimeenea taarifa kwenye mitandao ya kijamii juu ya tuhuma dhidi ya Heche kudaiwa kupewa mamilioni ya fedha ambazo ni michango ya wadau kusaidia shughuli za chama hicho lakini kiongozi huyo hakuzikabidhi kwenye chama bali alibaki nazo. Katika madai hayo yaliendelea kueleza kuwa kiongozi huyo alikiri kufanya hivyo na Kamati Kuu iliazimia kutolitoa jambo hilo nje badala yake waridhiane ndani kwa ndani na kujiponya. Hata hivyo siku za karibuni zimeibuka tuhuma mpya dhidi ya Heche kuwa anashirikiana na wafanyabiashara kwa lengo la kuvuruga biashara ya mafuta nchini. Tuhuma hizi zimetolewa na kada wa chama hicho Lembrus Mchome na watu wengine. Upepo umebadilika siku nne zilizopita ambapo inadaiwa kuwa tuhuma hizi ni za kumchafua Heche na zinaendeshwa na makada wa chama hicho wakishirikiana na watu wengine ikidaiwa kuwa wanaoendesha propaganda hizi walilipwa fedha kwa lengo la kwenda kushawishi kwenye kamati kuu ili Heche akubali kuingia kwenye maridhiano na serikali na Tundu Lissu aachiwe jambo ambalo inadaiwa Heche alikataa.

Jambo TV

27,346 次观看 • 1 个月前