Loading video...
Video Failed to Load
Ina sikitisha na kuchekesha ๐๐
73,529 views โข 2 years ago โขvia X (Twitter)
32 Comments

Mwana kaona em msinichoshe em nitoe kwanza yangu ya supu mapema๐๐

๐๐

Nilichopenda jamaa kakunja dusko lake mapema ๐

Yupo kama ana down syndrome ivii...๐ง๐ค

Wazanzibari na kutokuwa na elimu sasa.

Mh @Dr_DGwajima @wizara_afyatz huyu mtu ana intellectual disability due to down syndrome, ana haki zake kama mwanadamu. Hii si sawa.

Huyu anaonekana hayupo Sawa kiakili, so hawakutakiwa kumrekodi na dhihaka hivyo

Huyu ana usonji, wala si jambo la kuchekesha. Huyu ni mlemavu

@malipajr kaona wanamzingua tu akaona acha ajichukulie ๐

Nishindwe kuhesabu na hata 10 nisitie mfukoni ๐๐๐

Kuna watu wamekuja duniani tuwacheke tuikose mbingu.

And this ladies and gentlemen is the new way we joke about peoples disability for likes on social media...if you cannot see he has down syndrome am sorry but you also have a disability... shame!

sidhani kama kuna cha kuchekesha hapa

Huyu ni @MpellyTech1 kbc hajui ata kuhesabu ๐

Ten kwanza likae kando alafu ndio tuhesabu๐๐

Kaona azuie hiyo moja ambayo anaanza vizuri kwanza๐

Ukisikia EMPTY SET ndio hii ๐

@funjojr Hawa hapa wale Wana๐

Katoa kumi ya usumbufu safi sana ๐

Wanasema chizi anachekesha kama hatokei kwenu

Kweli bwabwa hy๐

๐๐๐

Babu Ali miyeyusho ๐

๐๐๐

๐๐

daah๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐

Daaah

๐๐๐๐ Zanzibar huku sio?

๐๐๐๐

Sema kafanana na Feilasufi

@Dr_DGwajima tunaweza kuamua sasa kuwaheshimu watu wenye Down Syndrome. Hii sio sawa kabisa. Wazazi wenye watoto wenye Down Syndrome wanaona haya ndio yatakayowatokea watoto wao wakati hawapo duniani. Tuwape nafasi ya kuheshimiwa hawakutaka wao kuzaliwa hivi๐ฅน

Never abuse disability.......down syndrome need your support...
