Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Inauma sana😂

223,989 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Presenter Noah
Presenter Noah2 лет назад

nimejisikia vibaya bora hata nisingeona

Фото профиля BekaBOY 0.1
BekaBOY 0.12 лет назад

Africa hii, nenda kaangalia watu wake sasa. Bize na Mambo ya kijinga ulevi, mipira Bettings 🚮 Huyo sioni kama mtu nisie mjua. Namuona Mama yangu. Kule Mbeya wanavuka kwenye mtu kama hivi maji yakiwa shingoni wakibeba Mboga kichwani. Umasikini unaumiza sana

Фото профиля mastacaptain🇺🇸🇻🇮
mastacaptain🇺🇸🇻🇮2 лет назад

Tusiamini mindao africa haiko hivi hawa watafuta content😂

Фото профиля Sebian33
Sebian332 лет назад

Tusifanye mateso ya wengine vichekesho😔

Фото профиля VICTOR.
VICTOR.2 лет назад

Inauma kwelii. Sio sula la kucheka

Фото профиля Freddie
Freddie2 лет назад

Emoj yako ya kucheka imeniongezea huzuni zaidi💔😭

Фото профиля Baba J
Baba J2 лет назад

Haya ndio mambo @ccm_tanzania inawafanyia raia wake, wakati huo viongozi wanaishi maisha ya ulimwengu Dubai. Inaumiza sanaaa.

Фото профиля TuTu
TuTu2 лет назад

Camera man Yuko bize na kumrekodi badala ya kutoa msaada 🤣

Фото профиля nickyrabit
nickyrabit2 лет назад

Not a joke

Фото профиля Life is a Gift🐄
Life is a Gift🐄2 лет назад

Afu akina nyonyoma wapo dodoma wanakula biriani

Похожие видео