正在加载视频...

视频加载失败

Interview za Walimu |

10,795 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

TUNGU Jr. 的头像
TUNGU Jr.1 年前

Usizunguke san wachane kuw wamepuyanga zaid

World Transformation Movement 的头像
World Transformation Movement3 年前

Watch THE INTERVIEW

Ibrahim Yusuph Jason kaseke Nsungumwilu 的头像
Ibrahim Yusuph Jason kaseke Nsungumwilu1 年前

Mdogo wangu umesema Jambo ambalo media kibao Kama hazilioni. Hongera Sana mwalimu mwenzangu

Teacher Waidhu🇹🇿 的头像
Teacher Waidhu🇹🇿1 年前

Kaka, hii mifumo imewekwa ili kupunguza ukizingatia kuwa waombaji wa ajira ni wengi sana. Naamini wangeweza kufanya hicho ulichopendekeza ila ttzo ni rasilimali mda. Hata hivyo interview ziko mbili ambapo unaanza na hii written then uki-pass unaenda oral ambayo itahusisha class

Misango Jr 的头像
Misango Jr1 年前

Hakuna cha miaka 6 sijui mitano nyuma bro. Hizi interview zinafanyika kwa kada zote hazijaanzia tu kwa Walimu. Mtu wa Mass Com kamaliza 2010 Leo anakutana na Adobe premiere 2025 Mbona halalamiki?? Engineer wanafanya interview pia, kwa mfumo huo huo Mbona walimu vilio vingi?

MTAFUTAJI!🎬👊 的头像
MTAFUTAJI!🎬👊1 年前

😹😹

Lida 的头像
Lida1 年前

Don’t round the bush .. say it straight on their face Wanafanya Mambo ya kishamba .

Msemaji wa umma 的头像
Msemaji wa umma1 年前

mkulima hapa umechambua sana ,km ni madini basi ni kama tupo GOMA BANYAMULENGE,wakongoman na mamluki wa ulaya wote wanayagombania

Allination 的头像
Allination1 年前

Umeongea jambo la maana sana, ndio mnatakiwa muwe hivi siku zote, ili kujenga misingi mizuri ya baadae. Chengine mitaala kilakukicha inabadilishwa

Njiku Jr🌻🇹🇿! 的头像
Njiku Jr🌻🇹🇿!1 年前

Bro we kuweza😂

Abduli Kaifa 的头像
Abduli Kaifa1 年前

Umesema vizuri lakini changamoto ni zilezile 👇🏾 Shortage of resources Lack of skilled personnel Poor transport and communication Low level of science and technology Incapacity of the population handles Poor management and preparation Mwingine ajazilize hapo 👆🏾

相关视频

VIDEO: Katika hali ya kushangaza, walimu wa Shule ya Msingi Nkweshoo iliyopo Kijiji cha Mkuu Ndoo, Kata ya Machame Mashariki, wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro, wanadaiwa kuomba uhamisho kwa madai ya ubaguzi kutoka kwa baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma shuleni hapo. Shule hiyo yenye walimu saba inadaiwa kuwa na mgogoro kati ya baadhi ya wazazi na walimu, ambapo inasemekana wazazi wanataka shule hiyo ifundishwe na walimu wazawa, hali iliyowafanya walimu wote kuomba uhamisho. Hata hivyo, Mkuu wa Shule hiyo, Mwalimu Method Haule, amekanusha madai hayo akisema kuwa taarifa hizo si za kweli na zimeleta taharuki isiyo na msingi. Ameeleza kuwa hajawahi kutoa takwimu wala taarifa zozote zinazoashiria hali hiyo shuleni kwake. Kwa mujibu wa taarifa, hali hiyo ilifikia hatua ya kujadiliwa katika kikao cha Halmashauri ya Kijiji kilichofanyika Ijumaa iliyopita, ambapo wazazi na viongozi wa kijiji walikutana kutafuta ufumbuzi wa madai kwamba mmoja wa walimu alifanyiwa vitendo vya kishirikina kwa kurushiwa mawe kwenye paa la nyumba yake. Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu ya kijiji hicho, Elimwaria Mbora, amenukuliwa akisema kuwa ni kweli baadhi ya walimu waliomba uhamisho kutokana na changamoto zilizojitokeza, ingawa hakufafanua zaidi kuhusu hali hiyo. Diwani wa Kata ya Machame Mashariki, James Mushi, pamoja na madiwani wa viti maalum wa eneo hilo, wameelezea kusikitishwa na taarifa hizo, wakisisitiza kuwa wakazi wa eneo hilo wanaishi kwa amani na walimu wa shule hiyo, na hakuna mgogoro wowote wa wazi baina yao. Shule hiyo yenye jumla ya wanafunzi 168 ina walimu saba, ambapo watano ni wa ajira rasmi huku wawili wakiwa ni wa mafunzo kwa vitendo. Mpaka sasa, mamlaka husika bado hazijatoa tamko rasmi kuhusu suala hilo, lakini inatarajiwa kuwa litapatiwa ufumbuzi wa haraka ili kuepusha athari kwa maendeleo ya elimu katika eneo hilo.

Jambo TV

27,110 次观看 • 1 年前