正在加载视频...
视频加载失败
Is this guy seriously a cop ? Is He okay ?
11 条评论

El captain1 年前
Samidoh akipiga guitar hua hamjali. Boys akikula rootie ndio where you draw the line 😂😂

Sammy Mbugua1 年前
Unafikiri nani huingia mathare,Dandora na other slums under cover?karao wenye vitambi watajulikana from far na gangs so he fits in such social set ups

ALASIRI MOTORS1 年前
True

Solar Heavy1 年前
whoa thats crazy but have you heard this?

Dickson Janakongo1 年前
Hawa ndo hutokea area mnaanza kuchill na yeye baze kumbe yuko kazi ya upelezi wasee area wanashangaa niaje vijana wanabebwa bebwa na polisi kumbe data collector huchill na mbogi baze

Justhetip1 年前
Imagine tulikuwa na yeye CUEA, ni karau🤣🤣

ALASIRI MOTORS1 年前
Nomareee

Classic 📚 🚛1 年前
Hawa ni wale wazazi waliuza shamba wakahongania kuingia polisi

Jabaland1 年前
Sioni ngori labda boiz shughuli zake anahandle freshi

ALASIRI MOTORS1 年前
Enyewe 🙏🏿

Demash1 年前
Alafu ukiandamana juu ya kasongo huyu ndo anakuweka bullet bana aiii🤢
