Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Issue ya Nchimbi ni nzito………..

370,913 просмотров • 21 дней назад •via X (Twitter)

Комментарии: 32

Фото профиля Kalebu William
Kalebu William21 дней назад

Huyu mama angejua mwezi wa 11 hatoboi basi tu Mungu ampe macho mapema ya kutubu

Фото профиля Anastacy_blvrd
Anastacy_blvrd21 дней назад

Yeye apinduliwe wapi? Kwani yeye alikuwa Rais wakati huo?? Ina maana alikuwa tayari ameshajiweka yeye ni Rais. Nilisema Mimi watanganyika wanaenda kutolewa kafara. Dada Nipo tayari kukusapoti nimechoka na viongozi wa Africa

Фото профиля UHURU🇹🇿🇩🇰🇺🇸
UHURU🇹🇿🇩🇰🇺🇸21 дней назад

Sasa njia iliyobaki ni maandamano ya CHOMA CHOMA . Tunachoma vibaka wote kudadeki. Ndio njia pekee iliyobaki yakuwa remove wauaji madarakani. Hawawezi kutoka kwa maandamano ya amani. CCM na Samuya jiandaeni mmetengeneza vita na wananchi

Фото профиля Nzengeli's sister 💛💚
Nzengeli's sister 💛💚21 дней назад

Wacha wahangaike , swali ni NANI ALITOA AMRI YA WATANZANIA KUUAWA KWA RISASI OCTOBER 29/2026???

Фото профиля Graduate🎓
Graduate🎓21 дней назад

Nimefika Hapa bila Kuchelewa, mpaka Pumbu zangu zimekufa ganzi😬

Фото профиля mTusi original 👦
mTusi original 👦21 дней назад

Eti wanakushindanisha na nifa mi nikawaambie ivi nifa anachokuzidi ni matako tu dada angu mi ninataka kupaki gari nikifika home niunganishe na home-base nikusikilize dada kimambi oyaa kwanza huzeeki umenyoka kama rula 🔥🔥

Фото профиля Kelvin Lucas
Kelvin Lucas21 дней назад

Hapo umemtaja mwigulu nakwambia huyo kimama hatoboi kbs, maana Mwigulu naye hatakubali ndoto zake ziishie hewani hapo, na hapa umefichua Siri basi watageuza kibao juu chini kuvuruga kila kitu ili uonekane ni muongo, Ila Nina uhakika kabla ya November huyo Kimama hataiona kbs!

Фото профиля Mkapuchini
Mkapuchini21 дней назад

Dada Mange una akili sana halafu kuna wasenge wanakufananisha na msenge Niffa

Фото профиля Mtoto mwenye watoto ⚡️
Mtoto mwenye watoto ⚡️21 дней назад

Nkajuwa utaongealea mambo ya kufakufa

Фото профиля ATUPHENA💊
ATUPHENA💊21 дней назад

CCM na hili jimama lishirikina ovu linaharibu Taifa kwa maslahi ya kishetani na kifisadi, Tanganyika siyo nchi ya kisultan ni Jamhuri so nyie madhulumati CCM ondokeni kabla ya hakijawalamba. Mkwere na Nduli Idd Amini Mama hawa viranja vya ushetani na ramani ovu hizi. 💔💔💔

Фото профиля Maureen C
Maureen C21 дней назад

@SuluhuSamia TAPELI jamani !!! Kwa hiyo MHAINI wa OKTOBA 29 sasa ni NCHIMBI? yeye hajioni aaaa? 2. hawa USALAMA wa taifa ndio hao TISS? Mbona ni ovyooo hivyo? Wanalinda maslah ya SAMIA na @jmkikwete wala si TAIFA WANANCHI wenzangu tumefikishwa mahala… #justiceforMo29

Фото профиля Tanzanite
Tanzanite21 дней назад

Love you our national treasure Sis Mange.

Фото профиля Grayhair
Grayhair21 дней назад

Hii nchi imefanywa kama mali ya kikundi cha waouvu ndani ya ccm na ni waovu kweli, wanaccm waovu ndio wanaendana huu mfumo wa madhulumati ila kuna wanaccm wachache hawapendi huu umafia wa madhulumati. Sasa watanzania hasa watanganyika tuna hali mbaya.

Фото профиля Mshika Za Kesho🇹🇿
Mshika Za Kesho🇹🇿21 дней назад

@am_gudie Dada Mange next time wewe changanya tu lugha tutawatafsiria wasiojua lugha maana unatumia nguvu nyingi sana kunyoosha kiswahili.

Фото профиля BONGO HURU.
BONGO HURU.21 дней назад

Kimama aache usenge tutamuumbua mchana kweupe

Фото профиля thug_trippier
thug_trippier21 дней назад

Huyu mama ni fala sana mara vijana wametoka nchi jirani leo tena nchimbi fuck you @SuluhuSamia

Фото профиля Ezekiel_Son
Ezekiel_Son21 дней назад

Nilikuwa navuka mto wenye mamba,.imebidi nisimame katikati hapa nisikilize hotuba ya dada wa taifa, naona hizi mamba nazo zinasogea kusikiliza ujumbe hapa😋

Фото профиля Utu💖
Utu💖21 дней назад

Ngugi wa Th'ongo unamjua vizuri au unamsikia? Yeye, na Mange Kimambi wote wanapigania jamii kuelekea lengo moja kwa namna tofauti. Na wanaeleweka💯🔥. Hata hivyo, kama no stori tuu, wewe una lipi ungependa tulitambue?

Фото профиля ELR
ELR21 дней назад

The shit is real. Kimama hakika amekuwa rogue. Huu upuuzi wa miss grand na harmonize hakika ni mkakati wa WAHUNI #KATAA WAHUNI#

Фото профиля Imma Omarwa
Imma Omarwa21 дней назад

Tatizo la uwongo milele haufiki Kesho atakudanganya Tena hivi wamesahau kuwa Walisema ni vijana kutoka nje ya nchi walifaya nchi ikose Aman

Фото профиля Henry Jackson
Henry Jackson21 дней назад

Mimi nitakuwa support Dada wa Taifa na Mungu akubariki kwa kazi unayofanya

Фото профиля Mtotomwema
Mtotomwema21 дней назад

Dah kwakweli toka MO29 hali sio hali mana utulivu haupo kwa wataka AMANi wala kwa wataka HAKI mambo vululu vululu

Фото профиля bin Luc
bin Luc21 дней назад

🥹

Фото профиля Tanzanite
Tanzanite21 дней назад

Uwiii

Фото профиля Barozi wa MTAA
Barozi wa MTAA21 дней назад

Dada unakigugumizi ila unajitahidi sana kuongea, Natamani sana ungekuwa hauna kigugumizi hlf uwe unawamwagia Nyuki, Kwenye Taarifa kama hizi

Фото профиля 𝕸𝖐𝖎𝖘𝖘𝖎 👑🎈
𝕸𝖐𝖎𝖘𝖘𝖎 👑🎈21 дней назад

Attention kubwa mm nilijua connection Dada umeniudhi 💔

Фото профиля don!
don!21 дней назад

Mala vijana wametoka nchi jiran ila mfa maji bwana....

Фото профиля Moe Temba
Moe Temba21 дней назад

Ebu tafuta KAZI ya kufanya, TAIFA letu tutalijenga wenyewe 🤓. Long live United Republic of Tanzania na tutakulinda 💪. We Can!

Фото профиля Guluguja
Guluguja21 дней назад

Dada wa Taifa umekuwa sana hutaki tena mambo ya habari za umbea kwasababu yanawaharibu Watanzania wanaacha mambo muhimu kwenye Taifa lao na kuwa wajinga na wapumbavu,much respect Mange

Фото профиля Lᴀsᴛ Bᴏʀɴ
Lᴀsᴛ Bᴏʀɴ21 дней назад

Nimeunganisha na Bluetooth ya hapa bar wanaruhusu wateja kucheza playlist on request unalipia tuu 5k dakika 15 ndio tupo tunamsikiliza Dada wa taifa, mniombee wakuu 🫴

Фото профиля Kamamaa
Kamamaa21 дней назад

Jezebel dah!! 💔🥺

Фото профиля Koneh Killaye Ngoroh
Koneh Killaye Ngoroh21 дней назад

Yaani nchi hii watu wamekuwa kama ng'ombe hamna anayejua siku ya kuchinjwa tupo tupo tu

Похожие видео

HARAKATI ZA SERIKALI HARAMU: “They Think The World is as Stupid as Them” SSH juzi anamuapisha Makamu Wake, alafu anashukuru Mabalozi na kudai wamewaonyesha jinsi tunavyoweza badili Uongozi kwa amani. Hivi mnadhani International delegates ni Wajinga eeh? Wabongo tu sio Wajinga ila mnawatishia maisha ndio maana wapo Kimya. Nchimbi anaandika Barua kujiuzulu na kusema tarehe rasmi ya kuachia ngazi anaipost Instagram Nchimbi anapatikana kwa Simu ila hasemi mengi! Ofisi ya Rais inajibu kuwa Rais SSH amepokea na kuridhia maamuzi Ofisi ya Makamu Wa Rais inatangaza Mpishi wa Nchimbi amefariki Nchimbi hapatikani tena kwa simu zake Post ya Tanzia ya Mpishi wa Nchimbi inatoweka kabla watu wengi hawajaiona! Kisha CCM wanaitisha Mkutano wa Dharura wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu; ukiongozwa na Mwenyekiti wao, Rais SSH. Usiku Usiku wanatangaza kumfukuza Nchimbi Uanachama wa CCM, permanently! Kidogo asahau, ila Katibu Mkuu wa CCM, Asha Rose Migiro anasema Jina la Makamu ni Ndejembi Nchimbi bado hapatikani kwa simu wala Ndugu, Jamaa, Marafiki kujua alipo Bunge Linampitisha Ndejembi kwa 100%! Unprecedented in 2026 hata kura moja kutopinga wala kuharibika. Hakuna Mbunge amehoji Whereabouts za Nchimbi, wala legitimacy ya kufukuzwa kwake bila hata kuwepo hati ya Kosa lake. Mwanasheria Mkuu anasema Umakamu wa Nchimbi umekoma sio September 4, wala sio baada ya Kuapishwa huyo Ndejembi. Kwenye Uapisho Nchimbi hayupo… Philip Mpango, Makamu wa kabla ya Nchimbi na Wastaafu wengine wapo ila huyu ambae amemaliza muda wake au alisema atamaliza muda wake wiki hii, HAYUPO! Alafu Ndejembi anakabidhiwa Ofisi na watu wengine, maana Nchimbi bado hapatikani kwa simu na hajulikani alipo. Activists online wanaanza kampeni ya FREE NCHIMBI, kutuaminisha yupo Kizuizini. Kweli Confidently unasema KILA KITU KIPO SHWARI? Mmetishia MEDIA zisimuongelee Nchimbi! na Media za Kimataifa zinaongelea JUU JUU; mnaamini Watanzania ni Wasahaulifu na Wajinga so hawaoni wala hawang’amui kinachoendelea. Na sasa mnadhani na WAGENI ni hivyo pia… 🤣 We Know! Wageni, They Know! Zaidi mnazidi dhihirisha kuwa Serikali sio tu Haramu, bali inaongozwa na “Darasa la 7C” Mtajuta Kutusomesha! The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

22,007 просмотров • 2 месяцев назад