Loading video...
Video Failed to Load
Jamaa anawakorofisha MAKOLO.🫵🏾😁
40,511 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Yanga ,,, kuna muda ebu tafuteni akili basi jamani...kwann kila siku mnajitia aibu...iv kweli ilo nalo ni la kujadil kwamba kwann simba yupo kimya.?? Simba kaandika barua moja tu imejitosheleza ... nyue sasa barua 3 ..mara mje bunju ....kila mtu anasema

Taarifa inajieleza, kwanza tupo bize na business strategies zetu🙌😅

Simba hawawezi kudai P3 sababu wanataka Game ichezwe

😂

Kweli simba kakimbia mechi mpka sasa hauliz hata kuhus point yuko kimya😁😁😁

TUTAKUWEPO 🫵 😎

Kwamba simba ana wajibu wakuuliza? Amuulize nan sasa? Mpira unafanya watu wakose akili

😂😂😂😂

- Moonlight

Sisi tuko Kimya tunawasubir nyinyi mmalize kesi yenu na TFF na Bodi ,af tukutane kwa mkapa mtupe point zetu,sisi hatuna shobo ya kudai point TFF Kwan wao ndo tutakao cheza nao?

😂😂😂😂
Related Videos
Sensitive content
Jamaa anasikiliza shida “View once”🫵🏾😂 Sema hii dini waliojipata wanatuona sisi MATAKO YAO aisee.🫵🏾😁
SATIVA
24,987 views • 11 months ago
