Loading video...
Video Failed to Load
Jamaa wanajua Fizikia ๐๐
781,582 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
11 Comments

SI - UNIT1 year ago
Umekazania wanajua physics,sema hiyo ni physics gani na toa na SI unit yake?

Solar Heavy1 year ago
- Chasing Time

้ฉฌๅคๅ l1 year ago
Hapo imetumika equilibrium

Ipyana Jr1 year ago
Na hapo unakuta hakuna mwenye hiyo Physics,ila ni informal education tu

Tchoumen06 ๐ฟ1 year ago
Vilaza mna shida sana Yani sehemu ya kutumia akili kidogo tu mnasingizia physics AIBU HII ๐๐คญ

dmkodabest1 year ago
Ila wahindi no risk takers yani mtu umilikia gari la mamilion afu unashinda kutengeneza ni kdaraja cha kueleweka sasa hapo likitumbikia insurance watakauelewa kweli

NIPATE KWA COMMENT1 year ago
Sawa Mtanzania hauwezi spell Fizix

Alfa1 year ago
Yes

Comr Ade1 year ago
๐๐

goldenboy1 year ago
Sayansi drs la V(Mashine)

LJ.com20351 year ago
Mambo ya force of equilibrium
