Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Hawa Jamaa ni Kisanga,.🙌🙌
100,848 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Hawa ni komando au ni kuruta wa TPDF mbona mazoezi ya kawaida sana wakuu au mimi sioni vizuri.

Asa mtu akininginia hivo kama kuna adui sniper si anawala vichwa wote 🙄

Jeshi letu bado lipo nyuma sana..!! Wenzetu kila kukicha ni technology mpya sisi wakwetu wanatutisha kunyanyua miguzo tu..! 😄 🤣 mbona tanesco kila siku wanainyanyua hiyo

Shida jeshi letu aliendi na mdaa kabisa Izoo mambo za kitambo sana wanatakiwa kubadilika

Vitu vya kizamani hivi,maonesho ya kizingaombe haya ,siku hizi watu wanaonesha silaha za kiteknolojia sip kubembea na kamba

Dunia ishahama huko wazee tujifunze kwa kinachoendelea Ukraine na Russia

Bado tunanyanyua magogo wakati tunatumia gase sas iv?

Ila nchi hatuko salama na hatuna amani #amini kwamba

Kuruka tu angani kwenye maigizo ya tumbua Kodi za wananchi ila kuwajibika kulinda mipaka yetu aaaaah

Wanaleta Mambo Ya Vita Vya Rambo Na Anord Shwaziniga!.....
