Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Jamani mara ya ngapi hiyo!!! 🤣🤣
48,722 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Oyaa mara ya 10 wauni wameenda wapi sasa

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Mashabiki wa singeli ni watiifu sana😃😃🙌wameamriwa kifata majani na wameenda🤣🤣🤣🤣🤣🙌

Hapo wahuni hawaelewi ikishafikiaga hiyo stage wanatamani hata wahame nchi wakaEnjoy wenyewe tu.

ko huu ndio mziki ambao wanasema n wakwetu tuu promote 😂😂 hyo n special kwa wahuni not 4 everyone 😀😀

Hapo km ndio kigodoro kipo kiataan kwako asubuhi ukiamka maua hakuna

tuheshimu muziki ya taifa

🤣🤣🤣🤣🤣huuu mziki bila bange haupandi, kwaiyo mashkaji wameenda kutafuta majani?

hizo 1 had 9 ni kelele tu radha iko hapo kwenye 10 oyaaaa

Kama mataila ety wanaenda kuchuma majani😂😂😂

🤣 😂 🤣
Benzer Videolar
Sensitive content
Eeeish🤣🤣🤣💔💔💔sasa huyu tumfanyeje jamani? Hivi anachosema ni sahihi? Daah🤣💔🏃🏻
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️
28,643 görüntüleme • 1 yıl önce
Nairobi watu ni machizi. Mumegeuza CBD Masai Mara 🤣🤣🤣🤣
Baba Ramilah ❁
111,475 görüntüleme • 1 yıl önce
