正在加载视频...
视频加载失败
Jason Statham
21,323 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
18 条评论

Jason Derulo 😂😂🙌🏽

Ishow Speed kutoka Kenya

Khalid wa Kenya

Huyu ni Nick Minaj wa Kenya 😂😂

Kutana na Rihanna wa KENYA 😂😂😂😂🚮

Baada ya MAANDAMANO, miezi miwili iliyo pita... Kenya 🇰🇪 Kwa sasa limezuka kundi la vijana (Gen Z) wanaojitokeza na Kujifananisha na wasanii Duniani 😂😂😂😂 Ikiwemo Diamond, Jason Derulo, Rihanna, Travis na kadhalika.. Angalia watu hao... Video kwa Comments👇🏾

Travis wa Kenya

Burna boy Yupo kenya pia 🙌🏽🙌🏽😂😂

Ruger wa Kayole, anaye Peform shows za Rugger.. Siku walipokutana 😂😂🙌🏽

Yoo Cardi B wa Kenya

Card B mwingine Huyu, anaiga hadi SAUTI 😂😂

Jomo Kenyata Reborn Kenya

Pop Smoke From Kenya 😂😂

Kenya tuko na kila mtu. Karibu tunawatolea suluhu wenu.

Wanamjjazaa

Hii ni maajabu hapa tumepigwa😂

Huyo Jason Statham 🤣🤣🤣🤣🤣

😂😂😂
