跳过导航
Je Msukuma yupo sahihi?
0:00 / 1:26

Je Msukuma yupo sahihi?

Balyx

@Balyx_16万 位关注者

在 X 上查看
424 个赞下载原帖

61,397 次观看

Je Msukuma yupo sahihi?

20 条评论

评论来自 X (Twitter) 上的原帖

  • Latino mafia 的头像

    @baumbajunior

    Huyu watu wengi waneingia kwenye mfumo wake. Ila jamaa ni muongo muongo sana😂😂😂

    7 个赞

  • 𝖅𝖊𝖉 的头像

    @zed_ogtz

    Hayupo Sawa Hizi Ndio Nadhalia Zinazo Tutesa. Nini maana yakutafuta pesa unatafuta pesa ili familia isije kuteseka wape waenjoy hata kama ni Gari la Milion 200. Marehemu Babu Aliwai Sema Wajukuu Enjoyin Maisha Niliko Pita Sitaki Na Nyie Mpite Huko💪🏿👊🏿

    6 个赞

  • Unaweza 的头像

    @hataweweunaweza

    Kasema kuwa watoto wanaendesha magari ya uwezo wao

    3 个赞

  • msauz 的头像

    @mwendamwalimu_

    Wasukuma wanafaa sana kuwa viongozi kiukweli

    2 个赞

  • SHAKA ZULU. 的头像

    @s_sophagi

    Kwasehemu kubwa hapa msukuma anajibu swali kuwa kwanini familia zetu za weusi tunashindwa kutengeneza generational wealth. Mtu ushanunua magari na ushapata utajiri then unalazimisha mtoto wako aanzie chini. Aishi maisha ya chini na kwa ufupi unamtengenezea mindset ya kimaskini.

    2 个赞

  • F A R I S A Y O 的头像

    @Caibunku

    Yupo sahihi 100%

    1 个赞

  • 1 Cor 13:. 的头像

    @grimikks_

    @munyamambogo Umaskini tu wa akili😂

    1 个赞

  • PN Antibiotic 的头像

    @pn_kase

    Adanganye walioko bongo ila kanda ya ziwa

    1 个赞

  • Bepari 的头像

    @_Bepari_

    Haya ndo yanawatesa watt wa Hanspope, hela za mizimu kushirikisha watt hutaki

    1 个赞

  • Kakakuona 的头像

    @Kakakuona5G

    Yaah nampa 💯

    1 个赞

  • Big 的头像

    @BiggieGJK

    Hayo ni mambo yake binafsi. Watoto wake wakiendesha hatutauliza...sio public interest kwasababu yeye anajulikana ni mfanyabiashara. But watoto wa Mombo sijui Kombo sijui kibushuti gani serikalini akifanya hivyo tutahoji. Btw hiyo ni issue zake ndani ya nyumba yake. We care less

    1 个赞

  • Samy_james 的头像

    @SamwelJame29335

    Ungemalizia statement yote aliyosema kuliko kuweka short hivo.

    1 个赞

  • Mafuta Ya Upako. 的头像

    @Mzeechumvi

    Mali za uchawi hizo 🚮

    1 个赞

  • Dr love ♥️✌️ 的头像

    @Mrp2040

    Hayupo sahihi kama Kuna gari au pikipiki kawanunulia kakosea, awatupe barabarani wajitafutie wenyewe kama ndege

  • Mamba 的头像

    @Vandersun21

    Sema watasema jau

  • Kilembwe 的头像

    @Kilembwe_Jr

    Kanyooka sana

  • Mr.Eagle 🦅 的头像

    @MsinguziEthan

    @Cluuzy_tz Yes

  • Code 的头像

    @timmykapesa

    Sahihi sana

  • SUKUNUNU 🇹🇿 的头像

    @sukununu01

    Fact

  • ELPinto 的头像

    @Patron_ELPinto

    Kaka ushasema msukuma!! Hatunaga usamba na ushua!!