Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Jipe Moyo Mkuu Mama
126,240 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Inauma sana. Ila hawa polisi lazima walipe gharama. Ni suala la muda tu

Mungu awatie nguvu nyie viongozi. Naisikia sauti ya Lissu hapo, anavyosema atapiga kelele, lakini uhalisia ni upi? Kama swala lake, yeye alie kiongozi wa chama kikuu cha Upinzani halijafanyiwa kazi, la Mgombea wenyekiti wa Kitongoji ndo litafanyiwa kazi? How?

Inaumiza sana tunaowapa dhamana kulinda uhai wetu ndo wanatumia dhamana hiyo kutoa uhai wetu. Serikali isiyowajibika ni mzigo kwa taifa💔

Hili taifa kila mahali linakuja damu. Yaani kiukweli wapenda haki tuna uchungu hauelezeki

Huyu bi chura mnywa damu za watu muda wake si rafiki kwenye hii dunia

Police ni kitengo kilicholaaniwa toka msalabani haya wamemuua wamefaidika nin kama siyo kuongeza lasna laana tu

Naona polisi alikua kalala chali mpk anashot risas 4 hewani😡 yani watu wameshuhudia unyama uliofanywa na polisi na bado polisi wanasema haikua kusudi polisi alishot hewan 😡😡😡😡 ivi Tanzania jmn

Muna uhakika hawa polisi ni binadamu wenzetu kweli

Ccm wanayafanya haya kwakua wanajua wazi kua watanzania hatuna cha kuwafanya,ifike mahali tuseme liwalo na liwe basi

The same thing imetokea tunduma juzi jamaa kauawa nyumbani kwake mbele ya mke wake, Daah mungu atupiganie
