Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Jumapili utamuona...
32,592 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Angalia Reaction tu, Ya Eliudi, Baada ya Kusikia kapewa Gari na Pastor Tony 😅😅😅 Video kwa Comments👇

Jiandaeni kumsahau huyu kijana kwenye tasnia kwani fatilieni wale walokuwa wanapewa magari uchagan kule leo wako wapi wote wameibiwa vipawa, nampa pole mwaisa😢😢

Mbona ni Muumini kitambo

Huu wimbo wa mwisho Kwa hii video unaitwaje please na nani kaimba

Yasije yakawa Yale Yale ya Akina Goodluck gozbert na nabii wake alompa gari 😅😅😅

Haya mambo basi tu 😂

Kawimbo ka mwisho kaimba nani !?

@Dream99chaser unajichanganya sana na watu wazito mdogo wangu.... Nimekuona unamalizia "....ni wakoroofi"😂😂

Baaasi kwisha habari yake

Wengi wanaulizia kanyimbo ka mwisho "WANASHANGAA (feat. Athanas Christian)" Nifollow kama hutojali tuendelee kusaidiana., nami ntakufollow back🤝
