Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
🔷🔷🔷Kafri Ni Nani Hapa???✍️
21,940 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 28

Kaka mtume wetu muhammad (s.a.w) ametufundisha hivi katika hadoth zake alipesema : " Mkirimuni mgeni hata kama ni kafiri". أكرموا ضيوف الله ولو كان كافرا huenda ukarimu wako ikawa 7bu ya Kupendezewa na Dini yako

Haya ndo Maisha halisi yakibinadmu amboyo tunatakiwa tuyaishi,Kupendana ( UPENDO).

Ndio hapo mnakonichanganyaga, mmoja ana amini Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu🤔(anatumia maandiko ya Biblia) Mwingine anapinga, anasema Mungu hakuoa wala hazai🙄(anatumia maandiko ya Biblia) Mimi nikisema dini ni biashara za watu weupe mnanitolea macho😳

Huyu ndo kafiri according to Bible 👇👇👇👇

Ni Papa akiwa na Wanafiki. Ambapo Mnafiq na Kufari mapacha

Kwenye mambo yatayorahisisha mishiko waarabu wahaonagi kafir wote mnakuwa watakatifu😂😂😂

Sisi huku ndo tuna hayo mambo ya ukafiri mkuu!! Kuna starehe gani ambayo haipo Dubai? Na ndo dini imekolea aisee. Ulishawahi sikia wanaweka condition za mavazi? Yaan tulioletewa dini tunajifanya tunaijua dini kuliko wenye dini zao. Ndo tatizo linapoanzia

Mnalazimishwa kuwafunuka wanawake wenu gubigubi kama Alshabab wakati kina Mohammed wenyewe mabinti zao wanatulingishia nywele

Kafir ni yule ambae ajawai kusoma biblia/Quran alafu anajiona yeye ndo bora kuliko kwenye dini na kuita wengine Kafiri

Kafiri niwewe maana umeletewa dini na akina Vasco da gama na akina tiputipu😁😁🤣

Maana ya kafiri ni nini ?

Patam hapo

Sema waarabu wengi ni wanafiki walitakiwa waungane kumnyoosha muislaelu

@ddl_vid1

Mbon awaji 😂😂ntarud badae nisome comment

Mungu baba mwana na roho mtakatifu ndio huyo

Wote makafir

@thevidbot

Ukiona kunachoko ujue ndio kafr mamae hapo hutok

Hivi Afande Rama alikuwa Dini Gani vile⁉️

Tabia ndio dini Yako kama uislama umekataza ushoga na nilaana mbaya sasa huyo rama nitatzo lake lakn papa amehalalisha

Roman Catholic is just Islamic traditional in Christianity. Islam and Roman Catholic are both same originally same root. Wote wanaamini kupitia wafu kama waombezi wao kwa miungu yao

Wote

Ni wewe

Yoyote ambae ajavaa nguo refu mithili ya kanzu ni kafir

Hayupo

Wewe

Hao wote ni watu waliostaarabika!
