Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Kahama Kuna Watu Wapo Na Helaaaaa🙌🙌🙌

158,972 views • 3 years ago •via X (Twitter)

11 Comments

Coach Hosea 🇹🇿's profile picture
Coach Hosea 🇹🇿3 years ago

Unaoa kwa mbwembwe hivi alaf unakuja kugongewa na muendesha boda boda

B A S I L's profile picture
B A S I L3 years ago

😂😂😂😂Maisha Bhana

WORLD CHICKEN's profile picture
WORLD CHICKEN3 years ago

Kahama kuna Miamba wana kikundi kinaitwa Kahama Hot Riders, wana mipira kufuru hawa mtu. Inshort hawana gari mbovu Ile Maybach namba E pia

B A S I L's profile picture
B A S I L3 years ago

@WorldChickenDSM Af Kimya Kimya Yaani 😁😁🔥🔥

𝗬𝗼𝘂𝗿𝗖𝗮𝗿𝗚𝘂𝘆 𝗠𝘂𝗱𝗮's profile picture
𝗬𝗼𝘂𝗿𝗖𝗮𝗿𝗚𝘂𝘆 𝗠𝘂𝗱𝗮3 years ago

Watu wanaishi sana kule aseee, Ona chuma hii 🙌🏾

Hancy Machemba's profile picture
Hancy Machemba3 years ago

Shida ni mwanamke kuanza kuhesabu kuanzia hapo kwenda mbele. Baada ya miaka usimwambie kuna mchongo unausikilizia,utakuja kuuwa au kujiuwa ww coz hata weza kuishi maisha magumu baada ya mbwembwe zote hizo

B A S I L's profile picture
B A S I L3 years ago

Changamoto Kweli

Humphrey's profile picture
Humphrey3 years ago

101🙌🙌🔥🔥

B A S I L's profile picture
B A S I L3 years ago

Hatari Sana

Hector Jr's profile picture
Hector Jr3 years ago

Ifike sehemu sasa tupewe heshima yetu yakua mkoa. Emma ni kiboko🙌

B A S I L's profile picture
B A S I L3 years ago

Kwakweli😂😂

Related Videos