Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kaka yake Polepole kama MOSSAD 😁

32,414 просмотров • 8 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 24

Фото профиля SportsArenaTz
SportsArenaTz8 месяцев назад

Vitu napenda

Фото профиля Sports HQ
Sports HQ8 месяцев назад

Mwamba anapambania damu ya mdogo wake 😢

Фото профиля Dr mekasi
Dr mekasi8 месяцев назад

Kijamaa kitapeli hichi🙌🏿😅

Фото профиля א ת
א ת8 месяцев назад

The man himself is the mission.

Фото профиля Doctor Upupu.
Doctor Upupu.8 месяцев назад

Watekaji wanacheka huku wanaogopa 🤔 hiki chuma kweli..

Фото профиля Skymoca_tz
Skymoca_tz8 месяцев назад

Kanari Augustino Polepole CV yake ni motoo🔥🔥🔥

Фото профиля Richard Busalu
Richard Busalu8 месяцев назад

Sema angepiga Party la kimyakimya,matangazo meeengi kama kampuni ya Coca-Cola

Фото профиля Eng. Suleiman Chugi✋🔧
Eng. Suleiman Chugi✋🔧8 месяцев назад

"Nilikuwa Dirishani nasikia" 🤣🤣🤣 Hapo ndo kaharibu kila kitu

Фото профиля Mhenga wakizazi kipya🇹🇿🇹🇿
Mhenga wakizazi kipya🇹🇿🇹🇿8 месяцев назад

Anaongea Sana huyu naye tushachoka drama zake

Фото профиля Jo
Jo8 месяцев назад

Uyu ana mikwara😁

Фото профиля kichefuchefuu
kichefuchefuu8 месяцев назад

Mikwara kibao hamna shughuli 😂

Фото профиля JK
JK8 месяцев назад

Huyu ni kama Mzaramo anaweza kukuua kwa maneno

Фото профиля The Missing Piece
The Missing Piece8 месяцев назад

Nataka nianze kusikia miili inaanguka😂hapo ndo patakua patamu jamaa aingie kama bulldozer pale ambebe bro wake wala asisubiri hao wa poti kama wana akili wakae mbali😂😂hakuna kutia huruma kama alivosema Captain Tesha

Фото профиля Lissu ni Mhaini
Lissu ni Mhaini8 месяцев назад

Anapiga kelele tu

Фото профиля Unseen Adviza
Unseen Adviza8 месяцев назад

Hiv uyu serikali ikimtaka c inamwomba chap hapo EU analetwa. Kwan sakata la mange kuja kushtakiwa Tanzania limefika wap??

Фото профиля Gungurugwa Abbas
Gungurugwa Abbas8 месяцев назад

Mi naona anazingua tu kila siku mtu wa kutoa onyo alafu hakuna kinachoendelea, walipata picha kabisa ya watu waliokua wanafatilia gari la ndugu yake kutoka segerea mpaka mjini tena wamezunguuka kweli kweli ilishindikana vipi kumbanika mmoja ili iwe fundisho kwa wengine?

Фото профиля kupira
kupira8 месяцев назад

Tapeli

Фото профиля Aairaair
Aairaair8 месяцев назад

Hana Akili Huyu Baba

Фото профиля Bonusbet Tanzania
Bonusbet Tanzania8 месяцев назад

Mwamba hatanii

Фото профиля Ally Torres
Ally Torres8 месяцев назад

Alikua dirishani

Фото профиля Huwezijua.com
Huwezijua.com8 месяцев назад

Kwani huyu sialitoa masaa 24 tangu mwezi wa 10 hayajamaliza ?

Фото профиля Gasto Mg
Gasto Mg8 месяцев назад

Kaka kama kuna anayezingua wewe ua tu, hatucheki na nguruwe pori haram kwetu

Фото профиля Mr.Eagle 🦅
Mr.Eagle 🦅8 месяцев назад

🔥🔥🔥🔥

Фото профиля The Kyejo
The Kyejo8 месяцев назад

Tutaona end of er

Похожие видео

Mama PolePole!
0:40

Sensitive content

Mama PolePole!

Jebra Kambole

69,121 просмотров • 1 год назад