Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Kali ya Mwaka Saidi Vs Rais Samia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ

150,013 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von princeNathan
princeNathanvor 1 Jahr

Ukipata iyo nafac mnong'oneza mama kwamba nina phd au masters au degree sina ajira nione kweny uongozi wako kesho tu utasikia jina lako ni mkuu wa wilaya rombo ukipata nafac moja usiichezee golden chance never come twice

Profilbild von SIRRA
SIRRAvor 1 Jahr

Mama enu kajisahau angalia mkono wakulia anamshika mshikaji kifuani mwanamke ni mwanamke tu๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Profilbild von Lemon
Lemonvor 1 Jahr

Hizo Ni herufi S yaani Saidi Na Samia,Sas nenda wew juma kama utaendana nae๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ

Profilbild von World is beautiful ๐ŸŒน world face Africa culture โ™ฅ
World is beautiful ๐ŸŒน world face Africa culture โ™ฅvor 1 Jahr

Daaaa nchii iii inaenda wap namkumbuka magufuli mungu tupe mwisho mwema wameshajilimbukizia mama Mali sasa masikini ajira Amna na ukombozi wa Mali zetu amna

Profilbild von K.D.B ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช
K.D.B ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ชvor 1 Jahr

Jobless wana ujasiri sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ˜Ž

Profilbild von OFFICIALDESIDERIUS๐Ÿฅ‡
OFFICIALDESIDERIUS๐Ÿฅ‡vor 1 Jahr

Hii nimependa kama ndugu yani thanks mama

Profilbild von Rock Paper Sizzle
Rock Paper Sizzlevor 1 Jahr

๐Ÿ’ช Merica, we're taking it back. ๐Ÿ’ฏ You like Trump, you know it, time to show it. โœ… T's for Trump here:

Profilbild von Alex Mbwaga
Alex Mbwagavor 1 Jahr

huu mwaka!

Profilbild von โ๐Œ๐€๐ƒ๐‘๐ˆ๐ƒ๐ˆ๐’๐“๐€โž
โ๐Œ๐€๐ƒ๐‘๐ˆ๐ƒ๐ˆ๐’๐“๐€โžvor 1 Jahr

Kijana alifika mbali akaomba hadi kiss ๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿคช

Profilbild von Richard Steven Itembe
Richard Steven Itembevor 1 Jahr

Kaokota kibunda chake haraka tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von dumaโญโญ
dumaโญโญvor 1 Jahr

ila haya majina ya Saidi

ร„hnliche Videos