正在加载视频...

视频加载失败

Kali ya Mwaka Saidi Vs Rais Samia 😂😂🙌

150,013 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

princeNathan 的头像
princeNathan1 年前

Ukipata iyo nafac mnong'oneza mama kwamba nina phd au masters au degree sina ajira nione kweny uongozi wako kesho tu utasikia jina lako ni mkuu wa wilaya rombo ukipata nafac moja usiichezee golden chance never come twice

SIRRA 的头像
SIRRA1 年前

Mama enu kajisahau angalia mkono wakulia anamshika mshikaji kifuani mwanamke ni mwanamke tu🙌🙌🙌🙌😀😀😀😀

Lemon 的头像
Lemon1 年前

Hizo Ni herufi S yaani Saidi Na Samia,Sas nenda wew juma kama utaendana nae😂😅🤣

World is beautiful 🌹 world face Africa culture ♥ 的头像
World is beautiful 🌹 world face Africa culture ♥1 年前

Daaaa nchii iii inaenda wap namkumbuka magufuli mungu tupe mwisho mwema wameshajilimbukizia mama Mali sasa masikini ajira Amna na ukombozi wa Mali zetu amna

K.D.B 🇧🇪 的头像
K.D.B 🇧🇪1 年前

Jobless wana ujasiri sana 😂👐😎

OFFICIALDESIDERIUS🥇 的头像
OFFICIALDESIDERIUS🥇1 年前

Hii nimependa kama ndugu yani thanks mama

Rock Paper Sizzle 的头像
Rock Paper Sizzle2 年前

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Alex Mbwaga 的头像
Alex Mbwaga1 年前

huu mwaka!

❝𝐌𝐀𝐃𝐑𝐈𝐃𝐈𝐒𝐓𝐀❞ 的头像
❝𝐌𝐀𝐃𝐑𝐈𝐃𝐈𝐒𝐓𝐀❞1 年前

Kijana alifika mbali akaomba hadi kiss 😆🙌🏻🤪

Richard Steven Itembe 的头像
Richard Steven Itembe1 年前

Kaokota kibunda chake haraka tu 😂😂😂

duma⭐⭐ 的头像
duma⭐⭐1 年前

ila haya majina ya Saidi

相关视频