Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kama nchi tumepitia mengi 😭
44,531 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Ahmadbakari✌3 yıl önce
Laana impate huko kaburini moto umchome kisawasawa🙄

Solar Heavy1 yıl önce
love the elements in this song

Hancy Machemba3 yıl önce
Na wakataka kugonga raia kabisa?

George Seni3 yıl önce
Kweli Nchi yote iliumizwa watu wakasahau hata majukumu yao wakageuka kuwa wapiga debe.Hatari sana

Mwendo Kasi3 yıl önce
Ntawambia nini wajukuu wangu

edogan zikarie3 yıl önce
Hii jamaa saa hizi yawezekana imeshastaafu inateseka na maisha ya uraiani. Ni mshamba sana

Luxe Megastore3 yıl önce
The tone "HUMSHINDIII"HUMSSHHINNDII" sukuma tone

Abdulkarim Juma3 yıl önce
Hakika never never and never again umagufulism

Samatime Car Dealers Co Ltd3 yıl önce
a very humble man

free state3 yıl önce
Pamoja na nchi kupitia mengi, ambayo yamebadilika lakini bado nyie mnaendelea kuwa watu wa kulialia tu

MUBARAKAT3 yıl önce
halafu bado kuna wapuuzi etiii nyenyenyyeeee oooh chuma shenzi kbs
Benzer Videolar
Kama umewahi kuhisi hii nchi ina watu serious nakupa pole 🤣🤣
Lubasha Jr
17,566 görüntüleme • 9 ay önce
