Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kamanda mmemuelewa?
14,813 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
16 Yorum

Ameeleweka vizuri sana, nenda kweny Cap 16. Ya mwaka 2022 imeeeleza wazi makosa ya namna hii, "Utterance, Defamation n.k. Tukiwambia msome Sheria mnashupaza shingo.🚮🚮

will we ever land on Mars?

Hatimae nae mkuu kaonekana na vyombo na wananchi wa mikoa mengne wamemjua kama kamkamata Ally dogo alipga sana kwenye mishono.😁

Waandishi wameuliza maswali ya misingi sana kongole kwao.

Bumbabumba

Kamanda katulia sana

Wana mtengeneza kwanza ili akili zake zikae sawa kwanza

Hapo kwenye mlalamikaji sijamwelewa

Kamanda kaonesha hapo sio TFF

Akili ndogo sana hii

Yeye mwenyewe hayupo sure "kama kama" nyingiii

Nahisi kamanda kajibu vizuti sana bila shaka nimemuelewa

Kmanda anautimamu wa mwili na akil safi kbsa,💪

Anaulizwa mlalamikaji ni nani Kwenye hii case?kashindwa kujibu akaona aruke swali,binafsi majibu Yao hua hayanyookagi Wala kueleweka kiukweli na kujificha nyuma ya kauli km nilivyosema uchunguzi ukikamilika tutaweka wazi!!!daaah

Ali kamwe akipigwa vizuri atasema ukweli sio hii script tunayoiona hapa

😂😂😂😂
