Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

15,810 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

0 Yorum

Yorum bulunmuyor

Orijinal gönderinin yorumları burada görünecek

Benzer Videolar

Police wahusishwa na utekwaji wa Ogunya Marwa mwanafunzi wa mwaka wa Pili Mining engineering Chuo kikuu cha MUST ( Mbeya ). Tarehe 17 April Police X akiwa amevalia nguo za kiraia alifika Dukani kwa kaka ake na Ogunya Marwa akamkuta kaka ake na Ogunya, Police huyo akajitambulisha kama rafiki ya Ogunya na akasema ana shida nae ya Muhimu sana, bahati nzuri Ogunya hakuwepo dukani siku hio. Hivyo Police huyo alimweleza kaka ake na Ogunya kuwa wanamtafuta kwa ajili ya Mazungumzo ya kawaida, kaka ake na Ogunya alimwambia hamjui huyo anae muulizia, Police huyo bila kudhania kua anafahamika Kwa Majina yake, sehemu anayoishi, familia yake, Mke wake na duka lake lilipo Musoma mjini ,hivyo alidanganya kuwa ni rafiki yake na Ogunya Marwa. Tarehe 20 April ( Siku ya Pasaka ) Police X na wenzake watatu wakiwa na gari kama crown nyeupe walipiga kambi nje ya geti la nyumbani kwao na Ogunya Marwa kwa zaidi ya Masaa 2, bila kujua kuwa wameshafahamika njama zao za kuwepo hapo nje ya geti, waliendelea kuwepo hapo nje ya Geti kwa muda kidogo baadae wakaondoka. Juzi tarehe 21 April kati ya saa 9:00 - 10:00 Asubuhi Ogunya alipigiwa Simu na rafiki yake ambae amekua akipiga nae gym akamuita wakutane nae eneo ambalo huwa wanapigia gym maeneo ya karibu na shule ya Msingi Mshikamano Musoma Mjini. Ogunya alipofika pale gym aliwakuta wenzake wakifanya mazoezi kisha akaungana nao, lakin pale ndani kulikua na Mtu ambae hajawai kuonekana kokote ndani ya eneo hilo, Muda Mfupi baada ya Ogunya kufika pale wakatokea watu watatu waliovalia kiraia wakaingia pale gym na kujitambulisha kuwa ni police wakatoa vitambulisho wakawaonesha Kisha wakamkamata Ogunya na yule Kijana Mgeni ambae hajawai kuonekana pale gym wakawapiga pingu na kuwaingiza kwenye gari wakaondoka nao Mashuhuda wanasema walikua na gari nyeupe inayo fanania na toyota crown. Jioni saa 9:00 ya siku hiyo ya April 21 Kaka ake na Ogunya alifika Central Police Musoma ili kujua hatima ya kukamatwa kwake, alivyofika Central Musoma akawakuta Police wawili wakiwepo Mapokezi Mwanaume na Mwanamke akawaeleza amekuja kujua hatima ya kushikiliwa Ogunya Marwa, Police akamjibu kuwa umeshapita Mochwari kabla hujafika hapa? Kaka ake akawajibu kuwa Mdogo wangu hakuchukuliwa na Madaktari na alikua haumwi nitaendaje kumwangalia Mochwari ? Police wakamwambia kamwangalie Mochwari kama hayupo ndio urudi hapa, Kaka ake akaondoka. Tarehe 22 April asubuhi mama ake na Ogunya Marwa alienda Central Police Musoma ili ajue hatima ya mwanae alivyofika Central police walikana kumshikilia Ogunya na wakamwambia azunguke kwenye vituo vingine vya police, akazunguka vituo vyote vya police Musoma mjini bila mafanikio. Mpaka Muda huu hakuna police wa kituo chochote waliotoka na kusema wanamshikiria Ogunya ili aweze kupewa haki zake za kiraia kwa mujibu wa sheria zetu, tunalitaka Jeshi la police litueleze Ogunya anashikiliwa katika kituo gani cha police na kwa kosa gani?..' Ukimuona Ogunya kokote tupatie taarifa kupitia +255 756 307 325 Mhere Kichere Kaka wa Ogunya Marwa. *Free Ogunya Marwa*

Twaha Mwaipaya

55,645 görüntüleme • 1 yıl önce

Hapa ukigotha unafungwa jela😭
2:09

Sensitive content

Hapa ukigotha unafungwa jela😭

SLYVIA _SSARU

1,242,131 görüntüleme • 2 yıl önce

Ali Baba Dastaan-e-kabul Shirtless Scene 2
0:43

Sensitive content

Ali Baba Dastaan-e-kabul Shirtless Scene 2

Male World Tweets

19,167 görüntüleme • 3 yıl önce