Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Kampuni gani hii? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

69,484 Aufrufe โ€ข vor 2 Jahren โ€ขvia X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von PeterMaganya
PeterMaganyavor 2 Jahren

Mallesa ya Geita -Dar

Profilbild von Mganga mfawidhi
Mganga mfawidhivor 2 Jahren

๐Ÿ‘Š

Profilbild von Nyasbo 5G
Nyasbo 5Gvor 2 Jahren

Siku Moja Nilipanda Hiyo Basi Toka Singida Kuja Dar Tulipofika Mitaa Ya Tumbi Jamaa Akaanza Hivyo Vibwagizo!! Aisee Noma Sana Ujue..Kama Cjakosea Basi Lenyewe Ni Ester

Profilbild von Mganga mfawidhi
Mganga mfawidhivor 2 Jahren

Hili naambiwa ni Mallesa

Profilbild von Thomas Kiluswa
Thomas Kiluswavor 2 Jahren

Hiii sio sawa aina tofauti na kuongea na simu wakati una drive

Profilbild von Mganga mfawidhi
Mganga mfawidhivor 2 Jahren

Haya

Profilbild von Raymond Nyamwihula
Raymond Nyamwihulavor 2 Jahren

Nchi ina burudani hii ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Mganga mfawidhi
Mganga mfawidhivor 2 Jahren

Lakini ni ukumbusho mzuri na muhimu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Eng.Shabir Mwangere
Eng.Shabir Mwangerevor 2 Jahren

Nilikuepo kwenye bus nilikumbuka kuzifuta ๐Ÿ˜ƒ

Profilbild von Shadrack Senya
Shadrack Senyavor 2 Jahren

Wageni ni wengi bora kawakumbusha abiria dar ina watu wema wachache na watu wa ovyo wengi sana kuliko mikoa yote

Profilbild von Mganga mfawidhi
Mganga mfawidhivor 2 Jahren

Kabisaaaa

ร„hnliche Videos