Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

16,719 Aufrufe • vor 3 Monaten •via X (Twitter)

6 Kommentare

Profilbild von Mangi Oko
Mangi Okovor 3 Monaten

Baba ake Menina/// Mzee atick yupo Vyed sana huyu

Profilbild von Cha Moto
Cha Motovor 3 Monaten

Watu wenye ufahamu mkubwa huonhea mambo magumu kwa lugha rahisi kueleweka.

Profilbild von mKigoma ⚓
mKigoma ⚓vor 3 Monaten

Mnawachokoza watu waithibati asubuhi asubuhi..

Profilbild von tiba asili
tiba asilivor 3 Monaten

nani huyu aisee ana nondo

Profilbild von Uncle Fafi
Uncle Fafivor 3 Monaten

Abdulkarim Ally Atiki

Profilbild von tiba asili
tiba asilivor 3 Monaten

unakuwa na mshua wa hiv mpk raha mnabishana kwa hoja tu siyo nmeona vingi ohh mm baba ako

Ähnliche Videos

Tupiganie Katiba Mpya kivipi Wakati Lissu alipigania Katiba Mpya mkamfungulia kesi ya Uhaini? Tukomae na Katiba Mpya kivipi wakati Vijana walipokomaa na Katiba Mpya mwaka jana mliwapiga risasi za moto na kuwaua? Tupiganie Katiba Mpya gani ambayo vijana wa CHASO Mbeya, Mwanza, Iringa na mikoa mingine wakifanya hivyo wanafunguliwa kesi za Ugaidi na Uhaini? Tupiganiaje Katiba Mpya wakati Dr. Melkisedeki Kaijage wa UDOM amewaambia wanafunzi wake Darasani kuwa kuandamana ni Haki ya Kikatiba leo amefunguliwa kesi ya Ugaidi? Unasemaje kama unataka Amani lazima Utende Haki na usione aibu kutamka haki katika mazingira ya nchi ambayo Vijana wanatekwa, wanapotezwa, wanafunguliwa kesi za uongo za ugaidi na uhaini ? Wanaoruhusu haya yafanyike ni akina nani Bwana Nchimbi atueleze tumuelewe. BAVICHA tumesema huu ni wakati tunaohitaji VITENDO dhidi ya MANENO. Hatuhitaji kauli tamu za kutufurahisha. Wanaokula kodi zetu watanzania tunahitaji watuambie: Katiba Mpya itapatikanaje kabla ya 2029 na 2030 wakati hadi sasa hakuna Bajeti ya Mchakato huo? Hakuna Calendar ya matukio ya namna mchakato huo utakavyofanyika na kukamilika. Tutaaminije? Msimamo wa BAVICHA na Chama chetu ni No Reforms: No Election kwa Uchaguzi wa 2029 na ule wa 2030. Ni muhimu wanaotumia kodi za Watanzania wakawekeza kwenye kuhakikisha mazingira ya kupatikana Katiba Mpya ya Wananchi inapatikana kweli na sio mbwembwe na propaganda. Deogratias Mahinyila Deogratias Mahinyila Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa. 24/07/2026.

Hilda Newton

27,437 Aufrufe • vor 3 Monaten