Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

112,753 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸vor 2 Jahren

Huyu bint ana miaka 28 ana akili kubwa namna hii nawaza tu wale wakina SHILOLE wakina MONALISA sijui akina WEMA SEPETU wana MIAKA 45 bado ni MACHAWA tu na hawawezi kutumia hata uwezo wao wa UMAARUFU ku kupinga MADHULMAT ya vizazi vyao rubbish🚮🚮🚮

Profilbild von My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱
My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱vor 2 Jahren

Ameongea kwa uchungu sana. Kuna tweet moja niliwahi kusema kuwa Arab spring iliyoleta changes North Africa itakuja kutokea East Africa na sijui tutaiita Swahili spring au African spring. Haiko mbali.

Profilbild von Bandie
Bandievor 2 Jahren

Katika Afrika ya mashariki kenya ndio watu wanaojitambua na kutambua haki zao katika serikali yao.

Profilbild von 𝗟𝗮𝘄𝗰𝗵𝗮𝗿𝘀 | 𝗧𝗿𝗮𝗱𝗲𝗿 📈
𝗟𝗮𝘄𝗰𝗵𝗮𝗿𝘀 | 𝗧𝗿𝗮𝗱𝗲𝗿 📈vor 2 Jahren

Kenya haikuwa na Nyerere

Profilbild von 🄹🄰🄸🄻🇧 🇷 🇪 🇦 🇰 🇪 🇷
🄹🄰🄸🄻🇧 🇷 🇪 🇦 🇰 🇪 🇷vor 2 Jahren

Ubinafsi wa nafsi za kibongo, hakuna mmama atakwambia hvi, kenyan minds r unbelievable aiseeh ✌🏾

Profilbild von Maureen Mwikali🇰🇪🇹🇿
Maureen Mwikali🇰🇪🇹🇿vor 2 Jahren

Kesho ni ile siku💪💪💪💪

Profilbild von African Greatness🌍
African Greatness🌍vor 2 Jahren

Africans are fast learners brother, just watch and see! The wave of social, political and economic awareness will sweep across the entire continent. Good things are coming

Profilbild von Msongamwanja Msonga
Msongamwanja Msongavor 2 Jahren

Kenya wametuachia mbali sana hata vyama vyao vya siasa walishahama huko wapo kwenye muungano. Hutosikia mwanasiasa kaikimbia nchi Bali utasikia mwanasiasa kakimbizwa na nchi (Mzee Miguna) yapo mengi wametuacha mbali.Hizi issue za Maandamano ni matokeo ya mifumo na uwazi wao.

Profilbild von Mandeu seleman
Mandeu selemanvor 2 Jahren

Kenya imeiacha Tanzania miaka 100 nyuma...Kinacho sumbua Tanzania ni watu wengi pamoja na viongozi kuwa wajinga

Profilbild von Hercules🇰🇪
Hercules🇰🇪vor 2 Jahren

Afu sisi tuna akina Mwamposa na kina Tony na yule maza mchaga kutwa mada za kunyanduana

Ähnliche Videos