Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Kiingereza waachie wenyewe

84,885 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Catey Kate profil fotoğrafı
Catey Kate1 yıl önce

Wee mzee kesho utakula biryani au pilau statehouse??

The PlantDr profil fotoğrafı
The PlantDr1 yıl önce

The Hadzabe clan

Crayoton profil fotoğrafı
Crayoton1 yıl önce

Huyu ni content creator

Kenmwah 🇰🇪 profil fotoğrafı
Kenmwah 🇰🇪1 yıl önce

Our guy 😁

Sandry254 profil fotoğrafı
Sandry2541 yıl önce

Welcome Tanzania 🤣

Bosnia🇰🇪 profil fotoğrafı
Bosnia🇰🇪1 yıl önce

This guy is something else 🤣

Everyone Actually profil fotoğrafı
Everyone Actually1 yıl önce

Cha'aba, muscle ya Hadzabe!

ICEhashKing 🧊 profil fotoğrafı
ICEhashKing 🧊1 yıl önce

kizungu iko moto kama uji

shivam sharma profil fotoğrafı
shivam sharma1 yıl önce

It was fun to see this

mkidaya profil fotoğrafı
mkidaya1 yıl önce

The best content creator right now!

Benzer Videolar

Mhe. Freeman Mbowe , kwenye suala la kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia tutaendelea kudanganyana na kuuhadaa umma. Hii experiment ya kutumia kiingereza kama lugha pekee ya kufundishia baada ya elimu ya msingi imefanywa kwa zaidi ya miaka 60 na matokeo yake ndio haya tunayoyaona sasa. Kila siku tunakuja na maelezo mapya lakini matokeo yanatuzomea. Leo shule zetu za msingi na sekondari zina zaidi ya watoto milioni 14, tunaendelea kupoteza kesho yao kwa kukomalia lugha ya kiingereza. Ni kweli lugha ya kiingereza ni mtaji katika Dunia ya sasa lakini hauhitaji kusoma kwa kiingereza ili kujua kiingereza au hata kushindana kwenye soko la Dunia. Pia kiingereza kuwa mtaji haimaanishi kwamba lugha yako sio mtaji. Unaweza kusoma kwa lugha yako, ukaelewa vizuri unachojifunza, kisha ukajifunza kiingereza kama lugha ya ziada. China ni mfano mzuri sana, elimu yao yote inaendeshwa kwa lugha ya kiChina huku kiingereza kikifundishwa kama lugha ya ziada. Faida yake ni kwamba wanatengeneza watu ambao, hata kama ni wachache watajua lugha ya kiingereza, kundi kubwa linatoka na maarifa ya kutosha waliyoyapata kwa lugha wanayoifahamu. Matokeo yake ni kwamba wanawapata hao wa kushindana kimataifa lakini pia wanawapata wa kuendesha soko la ndani ambao wanahitajika zaidi. Lakini pia lazima tukumbuke kuwa lugha ya kiingereza inategemea uwekezaji wa hali ya juu. Mtoto anajifunza lugha kwa njia moja tu, exposure. Anategemea kujamiiana na lugha anayojifunza ili kuifanyia mazoezi na mwisho kuiongea. Ili hii exposure ipatikane, ni lazima tufanye uwekezaji mkubwa wa kutengeneza mazingira ya bandia kwenye shule zetu yatakayoweza kumpa mtoto hiyo exposure. Tunafanya lini huu uwekezaji? Mpaka leo kitabu kimoja wanategemea kupokezana watoto watatu, shule hazina maktaba wala computer labs wala bajeti kugharamia activities za lugha wala walimu wanaomudu hiyo lugha na mtaani kwa mtoto wote ni waswahili au wakabila, huyu mtoto atapata wapi hiyo exposure ya kujifunza kiingereza?🤔 Taifa letu halikuwahi kukihitaji kiingereza kama lugha nyeti nadhani ndio sababu Nyerere na Sokoine mwaka 1967 wakaamua tutumie lugha ya Kiswahili katika elimu msingi. Tulikuwa na nafasi nzuri sana ya kukiasilisha kiingereza pale ilipowezekana kufanya hivyo, hata hivyo tulipoteza hiyo nafasi. Sasa hivi tunalazimisha maji kupanda mlima huku mtoto wa mtanzania maskini akilazimishwa kulipa gharama kwa kuitoa sadaka kesho yake. Tutaendelea kuhadaana kwa maneno mazuri ya kisiasa lakini ukweli utabaki kuwa hii lugha haiwezekani kutumika kama lugha pekee ya kufundishia kwa sasa. Watoto waruhusiwe kusoma kwa lugha ya Kiswahili ambacho angalau wengi wao tayari wana advantage ya kukizungumza, huku kiingereza wakikisoma kama lugha ya ziada. Kwa njia hiyo tutawapata hao wa kushindana kimataifa bila kuwapoteza wa kushindana ndani ya taifa. Nikukumbushe tu, mwaka jana pale Temeke kuna darasa la watoto nadhani 507 ambao wote walipata Div 4 na zero kwenye mtihani wa taifa kidato cha nne; hapa ni jijini DSM, sio vijijini. 🙏🏿🙏🏿

(---) Onesmo Mushi

27,000 görüntüleme • 2 yıl önce