Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kijani kijani!
15,702 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Hata ulivyokuwa CHADEMA ulikanusha hivi hivi na ukahama. Mwanasiasa "mchungaji" mwenye tabia za kimalaya malaya!. Hujulikani KUZIMU wala MBINGUNI.

- All I Knew

Father nyumbani ni pale moyo wako ulipo CCM sio nyumbani kwako

Unarudi kinyumenyume siyo,tulikuambia huwezi ishi penye KHARAM ukapinga wenzako huko hawawezi vya kuchinja

Tupo na wewe mkuu mpaka waje kukata jina lako kwenye kugombea ubunge

Hawez ishi kwenye malisho ya kijani alishazoea kaawia upande wa haki...kila akitaka kuongea ukweli kijani kinamsuta.hata vile viingereza vyake havipandi ngoja arudi mtaniambia atakuwa huru karibu muheshiwa walikuonea tutakupokea tuongeze nguvu

Kamanda wew hujachafuka sana mana kwenda kwako CCM kulieleweka vizur na 7bu zake kua n uonevu uliofanyiwa, ww ukisema urud Leo kiukwel unahitaj kaul 1tu mana huna uchafu wa kuhitaj kuomba msamaha. Plz mm nakubali uwezo wako pakubwaa, rudi CDM. Hata wanaokupuuza hawafiki robo yako

Hata kwenda ccm alikanusha hivo hivo😄😄😄😄

Waeleze wanatafuta huruma

Mbona unateseka sama huna hata wa kukupost ama kweli ugenini nyimbo haziimbiki

Yaan hata ungeimix na njano yake bdo hawakupi cheo 😂😂
